Nimeamini Rais Magufuli anakubalika sana huku mtaani, mitandaoni ni kelele za wachache

Tatizo Kikwete waTanzania alitulemaza sana,ilikuwa kazi kidogo tu hela mlima ila sasa hadi uitie hela mkononi jasho likutoke kweli kweli!well,binafsi kuna mambo sikuweza kuyafanya mwanzo but kutokana na m'bano wa huyu faza nimejikuta natunza pesa hadi yametekelezeka.

Hawezi kuwa perfect kila idara but haki yake apewe,anajitahidi sana.
Ulifanyann cha maana wakati wa jk ulipokuwa unapata pesa mlima?
 
Nipo maeneo fulani ya mkoa wa Morogoro huku ndani ndani kwenye kijiwe fulani nasubiri usafiri wa kurudi mjini

Raia wanammwagia sifa sana Mh Rais hasa kwa ujasiri wake wa kupambana na mambo mengi yaliyokuwa yanaonekana hayawezekani

Nadhani hata uelewa wa mambo unachangia mfano jamaa mmoja anashangaa watumishi kutaka waongezewe mshahara anaona kama wana tamaa yaan anaunga mkono Rais kukataa kuwaongeza, hajua kuwa ile ipo kisheria

Kiukweli mie sikubaliani na baadhi ya mambo kwenye serikali ila huku mitaani watu wanamkubali sana Rais.
Sasa kama umekaa kwenye kijiwe cha wapumbavu unategemea waongee nini?
 
Ulifanyann cha maana wakati wa jk ulipokuwa unapata pesa mlima?
.....................Nilitegemea ungeniuliza kipindi hiki ambacho wengi mnalalamika sana nimefanya kitu gani cha maana instead unaniuliza kipindi nikipata hela mlima?

Haina haja kuandika hapa mafanikio yangu je nikiokoteza habari zozote nikakudanganya hapa huoni kama sitakutendea haki?itoshe kujua kwamba wakati huu umetufundisha wengi wetu kujua jinsi ya kutunza akiba na kufanya yaliyo ya msingi tu na ni jambo ambalo kila Mtanzania anatakiwa alijue.
 
Nipo maeneo fulani ya mkoa wa Morogoro huku ndani ndani kwenye kijiwe fulani nasubiri usafiri wa kurudi mjini

Raia wanammwagia sifa sana Mh Rais hasa kwa ujasiri wake wa kupambana na mambo mengi yaliyokuwa yanaonekana hayawezekani

Nadhani hata uelewa wa mambo unachangia mfano jamaa mmoja anashangaa watumishi kutaka waongezewe mshahara anaona kama wana tamaa yaan anaunga mkono Rais kukataa kuwaongeza, hajua kuwa ile ipo kisheria

Kiukweli mie sikubaliani na baadhi ya mambo kwenye serikali ila huku mitaani watu wanamkubali sana Rais.
Hawa wa mtandaoni ni vikaragosi vya mafisadi na mabeberu mkuu,wamewekwa ili kusambaza chuki against our beloved President.Mimi pia niko kijijini mkuu,huyu bwana anakubalika sana,usiambiwe.
 
Halafu huku mitandaoni wengi wapo abroad hata kura hawapigi. Sisi huku tunajionea field Magufuli anakubalika sana tena sana. Watanzania wanataka maendeleo Bwana. Ingawa hawezi kuwa perfect asilimia 90 but jamaa ana standout bwana. Wanaolia ni wale mabwanyenye waliozoea kupiga juu kwa juu.
Wale madalali waliozoea kupanga mikakati ya kibiashara na wazungu wakiwa kule ghorofa ya juu kabisa ya Hyatt zamani ikiitwa Kilimanjaro Hotel, awamu hii chungu kwao.

Na kundi lao lina watu wengi waliokuwa wakifaidika nalo, utoto wa mjini sio tena tiketi ya kumbeba mtu.
 
Halafu huku mitandaoni wengi wapo abroad hata kura hawapigi. Sisi huku tunajionea field Magufuli anakubalika sana tena sana. Watanzania wanataka maendeleo Bwana. Ingawa hawezi kuwa perfect asilimia 90 but jamaa ana standout bwana. Wanaolia ni wale mabwanyenye waliozoea kupiga juu kwa juu.
Kama kweli ndo hivi,basi waruhusu pawepo mchuano ndani ya ccm ili tumchague tena!!!😂😂😂
 
Halafu huku mitandaoni wengi wapo abroad hata kura hawapigi. Sisi huku tunajionea field Magufuli anakubalika sana tena sana. Watanzania wanataka maendeleo Bwana. Ingawa hawezi kuwa perfect asilimia 90 but jamaa ana standout bwana. Wanaolia ni wale mabwanyenye waliozoea kupiga juu kwa juu.
Nahisi pia wengi wanaweza kuwa sio watanzania
 
Mkuu mmejazana hofu ambayo haipo. Tabia zenu chafu za kukashifu na kutukana ovyo viongoz wa serikali ndio kunawafanya msiwe na amani. Nashinda na makada wengi sana wa chadema, Kiukweli wanamkubali sana Mzee sema wakija humu full UNAFKI. Tanzania ya Social media sana JF ni tofauti kabisa na Tanzania ya huko mtaani.Ukiwa unashinda humu na ukawa na uwezo mdogo wa kuchuja pumba na Safi basi unaweza ichukia serikali na ukaamini siku haiishi vita vimeripuka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa kama unashinda na watu huku umenyoa Denge na ndevu umebakiza mustachi tu unategemea watu ukiwa nao wataacha kumsifia? Viongozi wa serikali wanatukanwa wanaambiwaje? Narudia tena, sasa hivi kuonyesha humkubali Magu hadharani ni kutafuta kundi lake la watu wasiojulikana likufanyie kitu mbaya. Tuna uwezo wa kutofautisha kukubalika na watu kuigiza wanakubali kwa kuhofia maisha yao. Kwa hiyo usishinde tu na Makada wa cdm, bali nenda hata ukalale nyumbani kwa Mbowe lakini Habari ndio hiyo.
 
Nipo maeneo fulani ya mkoa wa Morogoro huku ndani ndani kwenye kijiwe fulani nasubiri usafiri wa kurudi mjini

Raia wanammwagia sifa sana Mh Rais hasa kwa ujasiri wake wa kupambana na mambo mengi yaliyokuwa yanaonekana hayawezekani

Nadhani hata uelewa wa mambo unachangia mfano jamaa mmoja anashangaa watumishi kutaka waongezewe mshahara anaona kama wana tamaa yaan anaunga mkono Rais kukataa kuwaongeza, hajua kuwa ile ipo kisheria

Kiukweli mie sikubaliani na baadhi ya mambo kwenye serikali ila huku mitaani watu wanamkubali sana Rais.
tumeagizwa tukiwa maofisini tumsifie,,, tusijaribu kupinga tena wamesema wanatuletea kadi za chama kila mtumishi awe nayo
 
Halafu huku mitandaoni wengi wapo abroad hata kura hawapigi. Sisi huku tunajionea field Magufuli anakubalika sana tena sana. Watanzania wanataka maendeleo Bwana. Ingawa hawezi kuwa perfect asilimia 90 but jamaa ana standout bwana. Wanaolia ni wale mabwanyenye waliozoea kupiga juu kwa juu.

Jitoeno ufahamu tu. Mkae mkao wa kula mwenye kupendwa na Watanzania wote yu mbioni kuja. September si mbali.
 
Nipo maeneo fulani ya mkoa wa Morogoro huku ndani ndani kwenye kijiwe fulani nasubiri usafiri wa kurudi mjini

Raia wanammwagia sifa sana Mh Rais hasa kwa ujasiri wake wa kupambana na mambo mengi yaliyokuwa yanaonekana hayawezekani

Nadhani hata uelewa wa mambo unachangia mfano jamaa mmoja anashangaa watumishi kutaka waongezewe mshahara anaona kama wana tamaa yaan anaunga mkono Rais kukataa kuwaongeza, hajua kuwa ile ipo kisheria

Kiukweli mie sikubaliani na baadhi ya mambo kwenye serikali ila huku mitaani watu wanamkubali sana Rais.
Mtoa post umezitoa wapi hizo takwimu za kukubalika kwa Jiwe???... Umesahau hata kwenye kampeni watu walivyokuwa wanajaa lakini muitikio wa kura uliuona???.

Usidanganywe na ukubwa pua kuwa kipimo cha wingi wa kamasi
 
Nipo maeneo fulani ya mkoa wa Morogoro huku ndani ndani kwenye kijiwe fulani nasubiri usafiri wa kurudi mjini

Raia wanammwagia sifa sana Mh Rais hasa kwa ujasiri wake wa kupambana na mambo mengi yaliyokuwa yanaonekana hayawezekani

Nadhani hata uelewa wa mambo unachangia mfano jamaa mmoja anashangaa watumishi kutaka waongezewe mshahara anaona kama wana tamaa yaan anaunga mkono Rais kukataa kuwaongeza, hajua kuwa ile ipo kisheria

Kiukweli mie sikubaliani na baadhi ya mambo kwenye serikali ila huku mitaani watu wanamkubali sana Rais.

Hao siyo miongoni mwa wale waganga 900 waloapa kutupoteza tunaopanga kuchukua fomu za kugombea Urais?
 
Back
Top Bottom