Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,960
Yaani yule ambaye ameweza kufanikiwa kwa michakato ya mtaani. Yaani upate hela mtaani. Kuna kipind kabla sijaamua kutumia akili zangu za asili, achana zile za kupata A...A+. Zile ukiwa na memory nzuri na kukariri unaweza zipata.
Akili za ukweli ni zile za kubadili mawazo kuwa kitu halisia. Iwe pesa au chochote, nimesema pesa kwa sababu kila mahangaiko ya hapa duniani mwisho wa siku ni zao la pesa na wateva
Sasa niliwahi kuwa na kama Milioni 40 halafu nikavamia mtaa nikijua akili zangu za darasani zitanipa matokeo. Milioni 40 yote ilipeperuka kwenye miradi. Nikarudi sqr1, nikaenda kwa ma-master wa mtaani ambao hata form 4 hawakufika. Wakanikalisha na kunipiga shule upyaaa. Nikajiona fffffffff...yaan zero. Sasa nimeanza kutumia elimu zao now naanza kuona matokeo chanya.
So nadiriki kusema usijesema wewe ni genius hata siku 1 wakati umeshindwa kutatua matatizo yako na jamii iliyokuzunguka. Wewe ni bingwa wa kukariri na kukumbuka tu.
Uzi tayari...
(Well.nina regrets nying..laiti zile 40 ningeanza wekeza now pind nina elimu ya mtaa ningekua tajiri flani hivi) natembelea V8 now.
Though nje ya kibarua ambacho 2022 naacha, nishafungua biashara kama 5 hivi lengo ni kuwa na magoli ya kuingiza pesa kama 30 hivi hadi kufikia 2022.