Nimeamini Mwalimu Nyerere alikuwa anaona mbali sana...Tazama hii!

Sasa ndugu yangu unataka mtu apewe wadhifa bila hata kuwa na ilmu dunia!

Binaadam hufanya makosa na Nyerere is not exceptional, amefanya makosa mengi sana na mwenywe ka admit na kasema tusifate makosa yake akaamuwa kung'atuka. Au hilo nalo hamjui? hili la kuiuwa nchi kiuchumi na kuwafanya Tanzania maskini wa mwisho duniani ni kosa lake kubwa sana. Makosa ya Nyerere ni mengi sana kiasi silioni moja jema, jee, wewe unalijuwa moja lake ambalo sio kosa? hebu lielezee hapa, moja tu. Tulichambuwe.
 
tatizo la JK wa ukweli ukweli ni kuwa alishindwa kujenga demokrasia ya vyama vingi kuwa ni kinga ya dhuluma ya namna hiyo..........
 
Back
Top Bottom