Nimeamini msibani ukimwona mtu anamlilia sana marehemu jua kuna siri kubwa sana kati yao

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Najaribu kuvuta picha kipindi cha msiba wa magufuli huyu sabaya alitoa machozi kuliko hata mama Janeth na familia yake mlengwa mkuu kumbe kulikuwa na siri kubwa sana nyuma ya pazia.

Kwa sheria zetu hizi na katiba hii ya zamani sitashangaa hawa wahalifu watajwa wasifanywe chochote.
Tanzania nchi yangu naipenda sana.

Weekend njema.
 
Weak and njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weak and Njema kwako pia mkuu.
 
Ila neno la Kiingereza hapo mwisho umekosea au ndio unajua linaandikwa hivyo toka utotoni mwako? anyway jamaa msibani lilikuwa linalia mpaka na kwikwi
 
Najaribu kuvuta picha kipindi cha msiba wa magufuli huyu sabaya alitoa machozi kuliko hata mama Janeth na familia yake mlengwa mkuu kumbe kulikuwa na siri kubwa sana nyuma ya pazia.

Kwa sheria zetu hizi na katiba hii ya zamani sitashangaa hawa wahalifu watajwa wasifanywe chochote.
Tanzania nchi yangu naipenda sana.
Weak and njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weekend
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom