Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Za asubuhi wakuu!Niko mzigoni napiga kazi, sinaga weekend, jua langu, mvua yangu ilimradi mkono uende kinywani pamoja na familia yangu.
Rais ni raia nambari moja nchini.Anayo mamlaka makubwa sana kiutawala! Rais ana nafasi nyingi sana za uteuzi, haziishi hata amalize muda wake. Ona hapa chini baadhi ya nafasi ambazo Mh Rais ana mamlaka nazo moja kwa moja:-
1.Katibu Mkuu Kiongozi
2. Mkuu wa Majeshi nchini
3. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini
4. Jaji Mkuu na majaji wengine
5. Mwanasheria Mkuu wa Serikali
6. Gavana wa Benki Kuu na manaibu Gavana
7. Wakurugenzi wote wa mashirika ya umma na taasisi zote za Serikali
8. Wakurugenzi wa Wizara, Idara mbalimbali kwenye Halmashauri za wilaya, mji, jiji, manispaa
9. Wenyeviti wa Tume na Bodi mbalimbali nchini
10. Makatibu na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara zote
11. Makamishina
12. Mawaziri na Naibu Mawaziri
13. Wakuu wa Mikoa na Wilaya
14. Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya
15. Mabalozi huko nje ya nchi
16. Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
17. Wabunge 10
18. Wakurugenzi Ofisi ya Rais IKULU
19. Wakuu wa vyuo vikuu na Makao Wakuu wa Vyuo vikuu chini
20. Nk. Nk.
Sijasemea ndani cha Chama Tawala.
Kwahiyo ndugu zangu, tuvute moyo konde, uwanja ni mpana sana na muda bado. Mkuu wa nchi akisema,hakika linakuwa jambo.
Ramadhan Kareem