Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,551
- 46,092
COVID-19 ni suala la kisayansi, laana ni mambo ya kufikirika tu kama hekaya za Abunuwasi. Wengi wanaoamini hayo mambo ya laana ndio utawakuta pia hawaamini COVID ipo au wanasema chanjo zinabadilisha DNA kama wakina gwajiboi na wafuasi wake.Wewe huna tofauti Na mtu asieamini kuwa kuna COVID-19 sema hayajakukuta