Nimeamini kwamba gari ndio uchawi mkubwa unaowatesa wanawake.

infact hii ni kweli kabisa, yaani kwakweli kuna rafiki yangu mmoja aliwahi niambia toka apate kagari basi anajibebea watoto wazuri bila kuhangaika na ndiyo maana vijana siku hizi wanawaza wachukue mkopo wanunue kagari, kwakweli kagari kamekuwa kalimanzira wa mapenzi a.k.a kwa lugha ya kitaalamu kanaitwa catalyst.
U UNANIELEWA............................................
 

mwanamke mpumbavu asiyejitambua
atashoboka na gari la mwanaume,ila mwanamke mwerevu
mwenye kujua thamani yake,anaejitambua gari c chochote, kalaghabaooo na kushoboka kwao!!

mimi najitambua sanaaaaaaaaa tu na wala sina dhiki wala shida yeyote ila magari kiasi fulani huwa yananistua kiasi fulani ila sio ikvileeeeeeee

maybe i love cars too much
 
mimi najitambua sanaaaaaaaaa tu na wala sina dhiki wala shida yeyote ila magari kiasi fulani huwa yananistua kiasi fulani ila sio ikvileeeeeeee

maybe i love cars too much

unapenda may be uje umiliki la kwako!!
mwenzio kazungumzia wale wanaojirahisi
kwa wanaume kisa mwanaume ana gari
hajui undani wake yeye twende kazi mradi kamuona na gari!!
 

mwanamke mpumbavu asiyejitambua
atashoboka na gari la mwanaume,ila mwanamke mwerevu
mwenye kujua thamani yake,anaejitambua gari c chochote, kalaghabaooo na kushoboka kwao!!

Hata uyo Mwerevu anapenda kutembea juani? anapenda atoke jasho la kwapa? Chezea FATILI nn ww..
 
hahahahaaaa......!!!! Sikuhizi gari imekuwa kitombeo... loh...! Aibu gani hii kwa wadada?

hahaha duh! na kweli wee huoni vijana siku hizi lazima wakachukue mkopo wanunue gari la sivyo mpenzi wako atakuwaga revola
 
Mie nina milki kagari kangu sio zile logo zinazotisha sana ambazo ukikatiza mtaani watu wanakuangalia lakini naweza nikakubaliana na mleta mada na wadau wengine kwa upande mmoja lakini kwa upande mwingine nisikubaliane nao, kwa ambao ninaokubaliana nao ni wale wanaobahatika kukutana na wanawake wasiojitambua ambao wakikuona tu na gari wanakuzimikia kwa minajili ya kwamba kuwaonyesha marafiki wao wapo na jamaa kigogo na wengi wao huwa ni wanafunzi ambao bado hawajaanza life in broader way lakini kwa upande mwingine inategemea na mtu mwenyewe maana kuna watu hawana magari lakini uwezo wa kutoka na mrembo yoyote wanao kushinda hao wenye magari. Kwahiyo ni tabia zetu za kutokea warembo pamoja na kuweka lengo la ukinunua gari tu warembo watakukoma na wala sio gari nasema hivi nikiwa na maana kwamba kwenye gari inakuwa kama forum ya discussion while unapompa mrembo lift kwa kuwa wewe ndio unaliongoza`tofauti na anetembea kwa miguu ambapo kuna interuption nyingi but all in all wakati mwingine mwanamke anakuwa anakupenda wewe kama wewe na wala sio gari kwa kuwa unaweza ukawa na gari lakini uka-lack skills za kumtokea mrembo mpaka akakushangaa huyu jamaa vipi
 
Acha fix wewe, umewalipia bill; inamaana pesa waliyosave (maana hawakuwa na miadi na wewe) walishindwa kulipia taxi?

In as much nakubaliana na umuhimu wa usafiri kwa wapendao lkn njia zako za kupresent mada (kujipa extra attention/importance) inaongea mengi zaidi.
Asante!!
 

unapenda may be uje umiliki la kwako!!
mwenzio kazungumzia wale wanaojirahisi
kwa wanaume kisa mwanaume ana gari
hajui undani wake yeye twende kazi mradi kamuona na gari!!

OOOOOOOOOH Basi nilikua sijampata vizuri.

mimi siko huko kabisaaaaa tena, nikiona mwanaume yupo kwenye gari zuri ndo kwanza najifanya nipo busy na hamsini zangu asije fikiri nimeshalowa bure kisa gari.

kuna siku nikapita zangu mitaa fulani, basi kulikua na mkaka mwenyewe kapark eti Discovery yake(nzuri lakini) basi akaniita kwa vidole yaani nilimsonya hadi basi, mtu mwenyewe pumba tu basi akajua nishalowa kwa ile discovery yake kumbe mtu walaaaaaaaaa
 

mwingine akiona discovery anapagawa
hajaitwa unaskia kaka unaniita,full shida khaa!!
 
ndio mambo ya billions of money halafu unaita VIJISENTI.... watu bwana...!!!

Hata wanaume pia mnatizama wenye magari, sitataja gari ninaloendesha, lakini cha moto tunakiona kwa wakaka kutushobokea kisa kigari, kwa vile tu sisi sio watu wa kulalamika ka wanaume.
Naona mnasahau pia kua hakuna anayetaka shida jamani. Sasa kutwa unashikilia mchuma, una bwana bado kwenye mchuma tena, excuse me....
 
Jamani jumamosi kidogo
nivunje ndoa na gari ya kuazima, nilikuwa ndio nimekalibia kufika
nyumbani si nikakutana na mabinti wawili wazuri wakawa wananikodolea
macho na kutabasamu, na mipombe yangu kichwani nikawapa busu la mbali
basi walivyoona napaki gari wacha waje kunisalimia kumbe mimi ndio
napaki gari kwangu. Ilibaki kidogo nikimbie bahati nzuri wife hakutoka
nje.

pole sana mkuu!next time uwe makini zaidi!
 
wewe ulishawahi panda kwenye cayan au latest range rover alafi kitu full leather...mwenyewe walowesha chupi. mzima besty lakini?

Mie sijambo best, nashangaa tu hao wanaolowesha chupi kwa kupanda gari zuri!

Hivi watu hawajui cha mtu mavi? kwa nini utokwe na mate kwa kutamani vya watu? Mimi binafsi hata uwe na gari la dhahabu sintashoboka na kuuza utu wangu kwa ajili ya gari tu! Nitaangalia ustaarabu wangu na kuendelea kujipanga ili nami nimiliki la kwangu.
 
Back
Top Bottom