Nimeamini kuwa CCM kwa sasa ni mali ya Makonda na Magufuli

DOMBWELA

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
757
842
Wanabodi CCM yetu sasa siyo taasisi tena yenye kujiendesha Kama zamani, sasa hivi maamzi yote yategemea maagizo au maekezo ya Paulo Makonda na Magufuli.

Makonda au Magufuli akisema swala hili lazima liwe hivi kwenye vikao na CCM kwa ujumla hakuna wa kubisa!.

Naomba nitoe mfano kidogo kwa nafasi yangu nilioweza kufuatilia kwa karibu na kuona hatma yake, issue ya uteuzi wa nafasi ya Meya Manispaa ya Ilala imeniacha kinywa wazi. Naomba mwenyewe nafasi afuatilie saga hilo maana simulizi ni ndefu.

Hivi Makonda na Magufuli ndio wa kutoa maamzi ya kitaasisi wajumbe wengine kamati kuu wakae kimya!.

Mheshimiwa Bashiru Katibu mkuu CCM naomba uje huku kwa wanaCCM Ilala na wanaCCM Tanzania nzima uwaeleze mchakato ulivyokuwa mpaka mkatuletea jina Omary Kumbilamoto na mkaacha wateule wengine waliopendekezwa na vikao vya chini ili tuweze kuwaelewa.

Yaani mnatuletea Kumbilamoto huyu huyu aliekuwa CUF tukavumilia tukamrudishia udiwani, tumevumilia tukamrudishia unaibu Meya, hata miezi haijaisha ameona unaibu haufai ametaka Umeya mmempa!.

Mnampa nafasi hii kisa ni tu Makonda katoa maelekezo, mnampa tu kisa ni dampo la Makonda!.

CCM ya Kinana sio hii, CCM ya Makamba sio hii, CCM ya Mkama sio hii.

Naomba Mhe Bashiru ukuje huku utueleze kilichotokea ili niendelee kuamini kuwa CCM yangu bado ni Taasisi na si mali ya Makonda na Magufuli.

Naomba mniwie radhi kwa wale niliowakwaza kwa namna moja au nyingine kwa bandiko langu hili maana watu wazima, wasomi, n.k kugeuzwa kama wajinga wajinga hivi.
 
Wewe unatafuta kutekwa tu shauri lako.
 
Mtajiju
 
maamuzi yaliyotolewa na chombo cha juu cha maamuzi ndani ya Chama huyaheshimu halafu unajiita mwanaCCM? tatizo si kupendwa tu na wanaCCM , ukianza kuwa na ufikiri kama huo kila mtu anapendwa kwa kadiri anavyowagusa wanajamii ila tunatakiwa tuangalie kitu cha ziada kama nidhamu, maadili na uwezo wa mtu
 
Mlipoambiwa hayo yatatokea mlitukana, yametimia sasa ndio mnalalamika? Pambaneni na hali yenu.
Ukisikia fisi kala fisi ndiyo hii sasa dadeq.
tapatalk_1558685388053.jpeg
 
maamuzi yaliyotolewa na chombo cha juu cha maamuzi ndani ya Chama huyaheshimu halafu unajiita mwanaCCM? tatizo si kupendwa tu na wanaCCM , ukianza kuwa na ufikiri kama huo kila mtu anapendwa kwa kadiri anavyowagusa wanajamii ila tunatakiwa tuangalie kitu cha ziada kama nidhamu, maadili na uwezo wa mtu
Acha ushabiki njoo na hoja, Kama kweli unajua kinachoendelea naomba uwachambue wagombea walioomba nafasi hiyo angalau watu walioshika nafasi 4 za juu kwenye kura za maoni ndani ya chama akiwemo mpendwa wako!.
 
Naona vijana wake wa mitandaoni mliosemwa na spika mmeibuka!
Acha ushabiki njoo na hoja, Kama kweli unajua kinachoendelea naomba uwachambue wagombea walioomba nafasi hiyo angalau watu walioshika nafasi 4 za juu kwenye kura za maoni ndani ya chama akiwemo mpendwa wako!.
 
Hebu pelekeni huu uchafu wenu kule Lumumba, mlipokuwa mkiimba ccm mbele kwa mbele mlifikiri nani mnamwimbia? Kachapaneni makonde huko tunaomba msituonyeshe manundu yenu! Mkivembewa mnakuwa na nyodo hadi mnachefua! Leo mmekumbwa na jangwa la njaa mnaanza kuhaha na kutafuta msaada ndo mkome nyambafu!
 
Ukienda tofauti na hawa wawili aisee maisha yako yanakuwa kwenye wakati mgumu sana - hasa dogo!!
 
maamuzi yaliyotolewa na chombo cha juu cha maamuzi ndani ya Chama huyaheshimu halafu unajiita mwanaCCM? tatizo si kupendwa tu na wanaCCM , ukianza kuwa na ufikiri kama huo kila mtu anapendwa kwa kadiri anavyowagusa wanajamii ila tunatakiwa tuangalie kitu cha ziada kama nidhamu, maadili na uwezo wa mtu

Kwa sasa hivi ndani ya ccm, maadili ni kumuabudu jiwe na kumsifia kila wakati. Ukiwa mtu wa kuhoji na kutokujipendekeza kwake ww unakuwa huna hivyo vitu vinavyoitwa vya ziada. Ccm kwa sasa sio taasisi tena bali ni kundi la kondoo wanaomtii mchungaji aitwaye JPM, ili atumie madaraka yake kuchezea box la kura kuwapa vyeo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom