sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,368
Ndgu zangu igweeee!
Niende kweny hoja, nmeshangazwa leo, nmekutana na msafara wa N/b waziri wa Aridhi kweny moja ya mikoa nchini Tanzania akiongozwa na msafara mrefu wa DIFENDA NA GAR NYINGINE KAMA SITA ZIKIMSINDIKIZA HUKU ZIKIPIGA VING'ORA mithili ya msafara wa Rais nmejiuliza sanaa mbona hawa watu wakiwa Jijini Dsm hakunaga maving'Ora kama haya niliyokutana nayo huku?
Ni moja ya mikoa ya kanda ya ziwa nimeshangaa kumbe hawa wakija huku wanapokelewa kama wafalme aise? Thi is Tanzania bhana siasa nzuri jaman
Vijana jitokezeni 2020 ili mambo yawe olimswano!
Sent using Jamii Forums mobile app