Nimeamini kuna N/B waziri wa DSM na mkoani

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,368
Ndgu zangu igweeee!

Niende kweny hoja, nmeshangazwa leo, nmekutana na msafara wa N/b waziri wa Aridhi kweny moja ya mikoa nchini Tanzania akiongozwa na msafara mrefu wa DIFENDA NA GAR NYINGINE KAMA SITA ZIKIMSINDIKIZA HUKU ZIKIPIGA VING'ORA mithili ya msafara wa Rais nmejiuliza sanaa mbona hawa watu wakiwa Jijini Dsm hakunaga maving'Ora kama haya niliyokutana nayo huku?

Ni moja ya mikoa ya kanda ya ziwa nimeshangaa kumbe hawa wakija huku wanapokelewa kama wafalme aise? Thi is Tanzania bhana siasa nzuri jaman

Vijana jitokezeni 2020 ili mambo yawe olimswano!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiwa dar anakuwa na gari yake na may be ya kamishna tu kama ataongozana naye.
Anachouzi huyu mama ni kulea uozo na ukabila,anawabeba sana watendaj wa ardhi wa kabila lake hata kama ni vimeo,ila akienda mikoa ambayo haina watendaj wasukuma anatumbua hovyo.In short hana msimamo na ni mkabila.
Kwa muktadha huo kupata mabadiliko kwenye sekta ya ardhi Tanzania ni bado sana.
Afadhali lukuvi hana ukabila,akitoa maamuzi anayasimamia,tofauti na mama hana msimamo,anatoa kauli mbilimbili na hasa ukiwa msukuma,hata kama kimeo wewe utapeta tu.

Mkuki kwa nguruwe
 
Back
Top Bottom