Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,570
Wanabodi,
Kuibuka kidedea kwa Dr. John Pombe Magufuli, kuwa mpeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao, sasa Nimeamini Kumbe Sio Msituni Tuu, Bali Hata Kwenye Siasa, Simba Mwenda Kimya Ndiye Mla Nyama!. Pia kuna kwa ukweli kidogo kwenye maneno haya "The barking dogs, seldom bite!".
Funzo tunalolipata hapa, ni politics is very unpredictable game, hivyo one you always never be too sure to invest so much, kisha mwisho wa siku you end up kuvuna nothing!. Watu wali invest so much kwa kelele nyingi, kwa mategemeo ya kuvuna so much, na kila walipopita walipokelewa kwa shangwe kwa umati kubwa za watu wakisindikizwa kwa nyimbo na mapambio, mwisho wa siku, waliokula nyama ni simba mwenda kimya!.
Na kwa wanasiasa waliojibainisha wazi wazi to take sides, jee sasa watasimamia wapi?!.
In politics, never be too sure of anything until you are real sure!, anything done in politics, it is not done until it is over!.
The winner takes it all,
The looser standing small!
Sasa lazima tuje to an open, ama tukiri wazi tumejerehiwa na tunamuunga mkono mgombea wa CCM, au tutangaze vita, ila kwa vile mgombea huyu wa CCM ni jembe la ukweli, then, nashauri, tukubali kushindwa kuliko kutangaza vita na fighting a loosing battle!. Mimi nashukuru kuwa miongoni mwa waliolijua hili Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums
Tumepigwa tukapigika!,
Tumeumizwa, tukaumizika na kuumia!,
Tumeangushwa tukaanguka!.
Tumetegwa tukategeka!.
Tumefitiniwa tukafitinika!
Tumeaibishwa tukaaibika!.
Tumenyong'onyezwa, tukanyong'onyeka!
Tumenyanyaswa tukanyanyasika!.
Tumepuuzwa tukapuuzika!
Tumeonewa, tukaoneeka!.
Tumedharailiwa tukadharaulika!
Tumebezwa tukabezeka!
Tumetegwa tukategeka!
Tumechekwa, tukachekeka!.
Tumelizwa, tukalizika!
Tumetahayarishwa tukatahayarika!.
Tumechoshwa tukachoseka!.
Yaani kila kitu kimekwenda ndivyo sivyo, ila haya yote ni nusu shari tuu, shari kamili ni October 25!.
We have to learn from our mistakes!.
Bado tuna 3 options
Swali ni Jee baada ya kujeruhiwa, na hali tete ya afya ya kamanda wetu, bado ana guts to fight on, au kukubali tuu yaishe tusonge mbele na simba mwenda kimya!
Paskali

- Retreat and surrender, kwa formula ya if you can't beat them, join them!.
- Retreat kwa ajili ya kujijenga upya and strike again!.
- No retreat, no surrender but fighting on hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la ..linamwagika!.