Forforty
Member
- Nov 13, 2019
- 86
- 85
Ungetaja hizo spot chache ambazo bado kuna nguo standard ungekuwa umetisha sana..
Nguo standard za kiume kwa shekilango road limebaki duka moja tu au mawili Yale ambayo yapo pale Mugabe kona yakwenda kituo cha Mawasiliano, maduka yalosalia kwa shekilango road ni feki tupu.
Roby one na Born2shine bado nawo wana vitu standard pale mwenge duka ni moja tu ROMS ambalo lipo kushoto right after soko la vyakula kama ukiwa unatokea huku TRA.
Ila pale kariakoo sio pakugusa, kuna duka moja pale kituo cha daladala cha mwananyamala niliuziwa shati elfu25 nimekuja kulivaa home kumbe material ni polista, yaan ukilipiga pasi linalia ta ta ta ta afu siku Chache tu limeshabadili rangi yake.Ni masikitiko kwakweli