Nimeamini hanipendi huyu msichana

(a) Muache tafuta mwingine ili usijutie.

Nakubaliana na wewe kabisa kwamba huyu dogo anaonekana hana hela, ushawishi, mbinu, wala hajui a wala be kuhusu wanawake na ndio kisa cha kuzungushwa mwaka mzima bila kupewa hata busu.

Tatizo kubwa zaidi ni kwamba, wanawake wanazaliwa wakiwa na mfumo maalumu wa ku "detect" wanaume maboya. Ndio maana nafikiri ushauri wako wa kwamba atafute mwanamke mwingine unaweza usimsaidie sana maana hata akienda kwa mwingine, huyo mwingine akimuona tu atajua huyu jamaa ni boya na atamfanyia vile vile kama huyu wa sasa anavyomfanyia.

Mleta mada: chukua muda ujifunze jinsi ya kuwapata wanawake na kuwatafuna kirahisi. Hiyo ndio itakua pona yako. Vinginevyo utapigwa sana danadana na hawa viumbe.
 
Nimeishia hapo uliposema hamjawah kusex nimekuona tu n kubwa.... hayo maandish mengne futa mwanmke wa sasa unajiaminisha hahaha bro utaumizwa sana ndo umeanza introduction na kitabu kina page 1000

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom