Nimeamini hakika mapenzi yanaua...!

Daud Bako

Senior Member
May 19, 2014
144
24
Binti niliyemtegemea na kumuamini hata kumsifia mbele ya marafiki zangu, leo kaniumiza baada ya kumfumania na kumsikiliza kupitia dirishani akifurahia tendo la ndoa na rafiki yangu wa karibu sana.
Cha ajabu saivi saivi ananitumia msg akilalamika eti anaomba nimsamehe!!!!
DON'T TRUST A WOMAN & A FRIEND 100%
ushauri wenu wadau ni muhimu sana kwangu.....!
 
pole kila safari haikosi misukosuko tafakari mwenye uamuzi wa mwisho ni wewe kuachana nae au kusamehe
 
pole ndugu piga moyo konde utampata mwingine atakayekuheshimu na kukuenzi.
 
Watu wengine sijui mna matatizo gani? Yaani umemfumania tena akiwa na rafiki yako halafu unakuja hapa kuomba ushauri? Unategemea tukupe ushauri gani? Anyway mpige chini, tafuta mwingine lakini jitahidi ujue ni kwa nini huyo hakuwa mwaminifu kwako. Sababu kubwa inawezekana haujui kuwajibika kunako 6 x 6, kwa maana ya kwamba umekuwa haumfikishi kwenye kilele cha Kilimanjaro.

Jichunguze, halafu chukua hatua.

Tiba
 
Ila una nguvu! Yaani umewachungulia na kuwasikiliza hasa!!!
Ila si kaomba msamaha jamani?
Akosaye husamehewa
 
Binti niliyemtegemea na kumuamini hata kumsifia mbele ya marafiki zangu, leo kaniumiza baada ya kumfumania na kumsikiliza kupitia dirishani akifurahia tendo la ndoa na rafiki yangu wa karibu sana.
Cha ajabu saivi saivi ananitumia msg akilalamika eti anaomba nimsamehe!!!!
DON'T TRUST A WOMAN & A FRIEND 100%
ushauri wenu wadau ni muhimu sana kwangu.....!

Hiyo ndo gharama ya Ulimbukeni wako, Yaani kosa kubwa ulilofanya ni kumsifia kwa wanaume na hasa marafiki zako, sasa ulitegemea nini? Kama ujuavyo jamaa walitaka kuprove hayo mambo na sifa hizo ulizo mpamba huyo bibie kama hutaacha tabia hii utaumia mpaka mwisho wa maisha yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom