Nimeamini CCM ni ileile

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,237
Kweli CCM ni ileile na wana CCM ni walewale. Mkapa alimhonga Mramba Wizara ya fedha. Mwenzake kikwete alikuwa anahonga wilaya na mikoa sasa kama akiwa waziri magufuli alikuwa anahonga nyumba za Serikali je, akiwa rais atahonga nini?

Tafakari chukua hatua weka CCM mbali na watanzania.
 
Kweli ccm ni ileile na wanaccm ni walewale. mkapa alimhonga mramba wizara ya fedha. Mwenzake kikwete alikuwa anahonga wilaya na mikoa sasa km akiwa waziri magufuli alikuwa anahonga nyumba za serikali je akiwa rais atahonga nn?
Tafakari chukua hatua weka ccm mbali na watz.


kwa hiyo ulikuwa bado unaiamin ccm?
 
Mpaka sasa hakuna hata mgombea anaenishawishi nimpigie kura...naona ahadi nyingi zisizotekelezeka
 
Mpaka sasa hakuna hata mgombea anaenishawishi nimpigie kura...naona ahadi nyingi zisizotekelezeka

Na hazijawahi kuwa chache coz hakuna upande ambao tanzania ina unafuu. Ndo maana mgombe wa ccm anatoa ahadi nyingi km vile ameijua nchi jana
 
Back
Top Bottom