nimeamini CBG siyo sayansi

luofe

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
330
142
wadau nina
chem C
bios. C
geogr D
bam. S
gs. F
na mimeachwa kwa jkt najiuliza maswali ambayo majibu yake siyaoni! au CBG nayo comb ya art?
 
wadau nina
chem C
bios. C
geogr D
bam. S
gs. F
na mimeachwa kwa jkt najiuliza maswali ambayo majibu yake siyaoni! au CBG nayo comb ya art?

Hata mi nashangaa coz nna 3 ya PCB af hawajanipanga, nimeshindwa kuwaelewa kabisa
 
wadau nina
chem C
bios. C
geogr D
bam. S
gs. F
na mimeachwa kwa jkt najiuliza maswali ambayo majibu yake siyaoni! au CBG nayo comb ya art?
unapata elimu ya uraia g.s F sa JKT unataka ukafate nini??ha ha a haa relax mkuu c wote wenye div izo wamechaguliwa,may b kunaawamu ya 3
 
wadau nina
chem C
bios. C
geogr D
bam. S
gs. F
na mimeachwa kwa jkt najiuliza maswali ambayo majibu yake siyaoni! au CBG nayo comb ya art?

wakati unasoma mwalimu ako alikwambia CBG ni art o scienc,?usifanye suluhu kwa kufikiria sababu chache
 
wadau nina
chem C
bios. C
geogr D
bam. S
gs. F
na mimeachwa kwa jkt najiuliza maswali ambayo majibu yake siyaoni! au CBG nayo comb ya art?

inabidi ufikirie vifuatavyo,mana JKT huendi kucheza segere na huwa hawabahatishi kwenye kuchagua
1.shule ulosoma
2.tabia yako
3.umefeli g.s
4.physical fitness
 
Gs imekuangusha F aisee subiri labda second selection ya jkt

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Simple mathematics zinawashinda sidhani kama list imekamilika wanahtaj wanafunz 10849 mpaka sahv kuna majina ya wanafunz 10018 inamaana bado kuna list watatoa
 
Simple mathematics zinawashinda sidhani kama list imekamilika wanahtaj wanafunz 10849 mpaka sahv kuna majina ya wanafunz 10018 inamaana bado kuna list watatoa

Duhh! You are a great thinker, i never thought of that one:rolleyes::p:rolleyes::p:rolleyes:
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom