Nimeambukizwa na mimi nahisi nimemuambukiza roomate wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeambukizwa na mimi nahisi nimemuambukiza roomate wangu

Discussion in 'JF Doctor' started by Deejay nasmile, Mar 17, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Kuna ugonjwa flani wa macho nimeupata.Sijui unaitwaje lakin ni kwamba macho yanauma sana na yamekuwa mekundu pia yamevimba.Cha ajabu baada ya siku 2 na rafik yangu nae kaupata.Tulipowauliza watu wanadai eti unaambukiza kwa njia ya kuangaliana.Je ni kweli? Na hapa hostel mabibo wengi naona wanaumwa pia.Je nini dawa yake?
   
 2. S

  Stany JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Pole sana ! muone daktar huwa unaenea kwa kas sana.
   
 3. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,310
  Likes Received: 3,058
  Trophy Points: 280
  Red Eyes
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  Yaani nahisi nitaupata muda si mulefu kwani jamaa tupo chumba kimoja na anao..
   
 5. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  hiyo ni red eye, ni viral infection inayofuatiwa na bacterial superinfection. Inaambukizwa thru contact na mtu mwenye ugonjwa huo, vitasa, kushea vyombo. Dalili ni macho kuvimba,kutoa machozi,kuuma,kuwasha..kuwa mekundu na kuogopa mwanga. Nawa uso kwa sabuni na mikono. Usipeleke mikono yako usoni kama umeshikana na mtu mwenye huo ugonjwa bila kunawa kwa sabuni. Ni self limiting ila ukihisi kama matongotongo yamezidi muone daktari ili utibiwe. Nakumbuka enzi naishi mabibo uliwahi tokea na uliathiri wapenzi zaidi.. Stay SAFE.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Huo ugonjwa unatokea sana hapo UDSM.
   
 7. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Je una dawa?
   
 8. B

  BARCA ON Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ni ugonjwa msimu na upo sana ukanda wa pwani,inasemekana hauna dawa ila wazee wa pwana hushuri kunawa maji ya bahari au maji ya uvuguvugu yenye chumvi kwa bali pia kuweka uso safi kwa kunawa mara kwa mara.ugonjwa huu noma watu hurebua sana hasa mabinti
   
 9. B

  BARCA ON Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ni ugonjwa msimu na upo sana ukanda wa pwani,inasemekana hauna dawa ila wazee wa pwani hushuri kunawa maji ya bahari au maji ya uvuguvugu yenye chumvi kwa mbali pia kuweka uso safi kwa kunawa mara kwa mara.ugonjwa huu noma watu hurebua sana hasa mabinti
   
 10. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Roommates wote wameumwa ila nashangaa mpaka leo haujanikuta. Najitahidi kunawa na maji ya moto, kuoga na maji ya moto, kunawa uso na sabuni mara kwa mara, naepuka contacts na wagonjwa. Pia naona kama unaangalia na damu ya mtu.
   
 11. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  aisee! Is this magic or? Jana usiku nimeandika coment kuhusu huu ugonjwa,leo na mi umenipata.!!!.
   
 12. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  nilivyo sikia kuambukizwa mi nikajua magonjwa mengine.
   
Loading...