Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,952
- 9,863
Unge-crop basi hizo picha!!!Njoo mie nikuoe maana naishi Masaki..View attachment 485560 View attachment 485561 View attachment 485562
Unge-crop basi hizo picha!!!Njoo mie nikuoe maana naishi Masaki..View attachment 485560 View attachment 485561 View attachment 485562
"Asavali" nimekukuta huku,jee unaliongeleaje tukio la mh Nape kutishiwa kwa mtutu wa bunduki leo?Kwanza oaneni mengine baadae.
Ni PM....Unge-crop basi hizo picha!!!
Mkuu afadhali uwe kwako, umetoka sokoni umepotea njia na hawa ndiyo inabidi uwaulize njia ya kurudi kwako.View attachment 485564 Majirani zako hao wamekuja kuomba maji na kidumu........ole wako ukatae.
Kwakweli nimesikitishwa sana, nimeandika post moja leo hapa, kama kuna kulindana CCM Nape ndiyo mtu wa kulindwa. Mzee Moses Nauye alikipigania sana chama pamoja na Profesa Mwandosya, Nape, Mwigulu na January ni vijana walioihudumia CCM ikiwa ICU daktari akiwa Kinana na Kikwete. Nape alikuwa mtu wa kuitwa Ikulu na kuyaongea na mkuu na kuyamaliza."Asavali" nimekukuta huku,jee unaliongeleaje tukio la mh Nape kutishiwa kwa mtutu wa bunduki leo?
Samahi mkuu Sky Eclat kwa kuchomekea hili langu maana huyu ni mwanaCCM nwenzangu na bahati nzuri tumeonana hapa ngoja tulonge kidogo....
Habari za leo wapendwa,
Niliota na kuwaza siku nitakayosema 'I do', hayawi hayawi yamemkua, nimepata mchumba na ndoa ni baada ya Kwaresma. Tatizo ni kuwa huyu jamaa tumekutana Bongo akiwa anaishi Mbezi. Nilivyokuwa ninahesabu siku za kusogea kutoka huku kwetu Kwamtogole niende Mbezi.
Sasa bwana usiku wa jana, jamaa ananifahamisha kuwa amepata kazi South Sudan, ndoa ninaitamani lakini kwenda kuishi Sudan ni kitu ambacho sijawahi kukiwaza. Ninachance ya kughairi kabla sijasema 'I do'. Nikishakuwa mke sitakuwa na maamuzi tena.
Ushauri tafadhali.
Hahahahaaaa..........Kuna jamaa'ngu amewahi kuishi huko tulimtembelea mwaka 2013 kabla hawajachafua hali.Mkuu afadhali uwe kwako, umetoka sokoni umepotea njia na hawa ndiyo inabidi uwaulize njia ya kurudi kwako.
Bila kusahau mzee Mnauye alizikwa bila kichwa chake baada ya waasi kumkata kichwa enzi zile Yusufu Makamba akiwa mkuu wa mkoa na rafiki mkubwa wa Marahemu Mnauye.Ni CCM hii hii ndiyo iliyempeka nchi hizo,Nape kakipigania chama kwa nguvu zote,leo anazalilishwa hivi kweli?leo Nape ni wa kutishiwa bastola???Kwakweli nimesikitishwa sana, nimeandika post moja leo hapa, kama kuna kulindana CCM Nape ndiyo mtu wa kulindwa. Mzee Moses Nauye alikipigania sana chama pamoja na Profesa Mwandosya, Nape, Mwiguru na January ni vijana walioihudumia CCM ikiwa ICU daktari akiwa Kinana na Kikwete. Nape alikuwa mtu wa kuitwa Ikulu na kuyaongea na mkuu na kuyamaliza.
Ni nchi ndio inakuogopesha kwenda kuishi huko.? Ila Kama ni kazi halali na mtaishi kwa halali hakuna shida dear. Kwa ushauri Wangu. Olewa tu dearHabari za leo wapendwa,
Niliota na kuwaza siku nitakayosema 'I do', hayawi hayawi yamemkua, nimepata mchumba na ndoa ni baada ya Kwaresma. Tatizo ni kuwa huyu jamaa tumekutana Bongo akiwa anaishi Mbezi. Nilivyokuwa ninahesabu siku za kusogea kutoka huku kwetu Kwamtogole niende Mbezi.
Sasa bwana usiku wa jana, jamaa ananifahamisha kuwa amepata kazi South Sudan, ndoa ninaitamani lakini kwenda kuishi Sudan ni kitu ambacho sijawahi kukiwaza. Ninachance ya kughairi kabla sijasema 'I do'. Nikishakuwa mke sitakuwa na maamuzi tena.
Ushauri tafadhali.
Habari za leo wapendwa,
Niliota na kuwaza siku nitakayosema 'I do', hayawi hayawi yamemkua, nimepata mchumba na ndoa ni baada ya Kwaresma. Tatizo ni kuwa huyu jamaa tumekutana Bongo akiwa anaishi Mbezi. Nilivyokuwa ninahesabu siku za kusogea kutoka huku kwetu Kwamtogole niende Mbezi.
Sasa bwana usiku wa jana, jamaa ananifahamisha kuwa amepata kazi South Sudan, ndoa ninaitamani lakini kwenda kuishi Sudan ni kitu ambacho sijawahi kukiwaza. Ninachance ya kughairi kabla sijasema 'I do'. Nikishakuwa mke sitakuwa na maamuzi tena.
Ushauri tafadhali.
Teh teh teh! . Ila kuna watu weusi ila kwa s.sudan na Kenya ni nomree.Ni mfanyakazi katika shirika ambalo lina ofisi Sudan. Nimekwisha kutana na wa-Sudan kadhaa pale ofisini kwao, kwakweli mbele yao mimi ni 'snow white' ingawa ndugu zangu huku Kwamtogole wananiita cheusi dawa.
Mutation?Ni contract ya miaka
ni contract ya miaka mutation Banda ya happy inategea atapangiwa wapi au kuongezewa muda
Hii itakuwa masaki ya chanika mkuu,uongo?!Njoo mie nikuoe maana naishi Masaki..View attachment 485560 View attachment 485561 View attachment 485562