NO ilikuwa ni my mum mkuumkuu na wewe umeambiwa kuwa una deadline ya kufa "
hata ukemee mkuu tuliumbwa kufa.Naikemea hiyo roho ya Mauti. you will not die
........Watu wana matatizo mkuu inauma mno.jaman...
pole sana ....NO ilikuwa ni my mum mkuu
unaikemea nini sasa ""? wakati kifo ndio mwisho wa kila kiumbe ''Naikemea hiyo roho ya Mauti. you will not die
though nimeshindwa kusoma comments zilizopita...maana hali niliyokuwa nayo wakati nazisoma naijua mwenyewNalia machozi hapa.....Folk pole jamani
Pole sana ndugu, habari hii inasikitisha sana. Utakufa pale muda wako wa kufa ukifika. Tuchukulie utakufa baada ya miezi minne, tambua kuwa kuna uwezekano mkubwa sisi tunaochangia mada yako mmoja au wawili au zaidi akafariki akafariki kabla ya kipindi hicho.Niliambiwa nikipatiwa good medication naweza kuishi hadi miezi nane. Lakini matibabu ni gharama kubwa na sihitaji msaada niko Kwenye critical stage na napata maumivu makali sana. Nahisi ni vema nife nipumzike.
hakuna moto wewe nani kakuambia soma vitabu kwa umakiiniPole sana ndugu, habari hii inasikitisha sana. Utakufa pale muda wako wa kufa ukifika. Tuchukulie utakufa baada ya miezi minne, tambua kuwa kuna uwezekano mkubwa sisi tunaochangia mada yako mmoja au wawili au zaidi akafariki akafariki kabla ya kipindi hicho.
Neno langu la mwisho kwako huko uwendako kuna mawili pepo na moto. Nakuomba kuwa muislamu kwa kuufuata kikamilifu utasalimika na moto, vinginevyo moto huo unakusubiri.
Yesu anatibu saratani siku hizi!!?..huwa mnaumwa akili!!?..wenzako congo huko wagonjwa wa ebola waliwatoa hospitali wakaenda kuwaombea,wawili wamededi ikabidi mmoja wamrudishe hospitali,ndugu ngonjwa kula matopetope kwa wingi huku ukifanya toba,usiwaze sana kifoNowdays uhai na kifo is a choice,kunakipindi MUNGU(sio daktari) alimwambia mtu mmoja atakufa atengeneze mambo yake yule mtu akaenda mbele za MUNGU akakata rufaa, MUNGU akaamuongezea miaka 15 zaidi(isaya 38).Wewe MUNGU ajasema ila ni daktari,YESU ndugu anaponya ni kweli inawezekana uliombewa na mchungaji haujapona lakin nikuambie kitu anayeponya ni YESU sio mchungaji.unachoitaji ndugu yangu ni IMANI,ukiwa na imani na NENO la MUNGU unaweza ukapona ukiwa hapo hapo nyumbani chumbani kwako au ukienda kuombea lakini ukiwa umeweka imani yako kwa YESU.Anza kwa kumkiri YESU kama bwana na muokozi wa maisha yako then tafuta maandiko katika bibilia yanayozungumzia uponyaji yatafakari hayo maandiko usiku na mchana uku ukiyakiri kwa kinywa chako ,utapokea muujiza wako na utarud hapa jamii forum kutushuhudia.Miezi minne ni mingi sana umepewa kwa ajili ya kubadili hatima ya maisha yako.Natakuatia uponyaji katika jina la YESU.Anza na hili andiko warumi 8:11
Pole sana Mkuu kuna magonjwa yanatia simanzi unakaa na marehemu akiwa angali hai.mkuu kama mimi my mum 3 years now, yani cancer achana nayo R.I.P
mara ya mwisho ilikuwa sio kifo ilikuwa ni zaidi ya kifo maana nimetumwa mahali sehemu ya nauli kama mia tano hivi ila nilitembea kwa mguu kwenda na kurudi roho ilikataa kabisa kupanda gari nafika home nakuta watu hawako nakuta madogo wana lia tu. aisee nilihisi dunia imenitenga. nilihisi kila mtu mbayaPole sana Mkuu kuna magonjwa yanatia simanzi unakaa na marehemu akiwa angali hai.
Pole sana sky walkermara ya mwisho ilikuwa sio kifo ilikuwa ni zaidi ya kifo maana nimetumwa mahali sehemu ya nauli kama mia tano hivi ila nilitembea kwa mguu kwenda na kurudi roho ilikataa kabisa kupanda gari nafika home nakuta watu hawako nakuta madogo wana lia tu. aisee nilihisi dunia imenitenga. nilihisi kila mtu mbaya