Nimeambiwa niende JNIA kupokea ndege kuna ubwabwa. Je, ni kweli?

Kuna kiongozi wa chama kimoja (sikitaji kuepusha msuguano) amepita mitaani kwetu anahamasisha kwenda Uwanja wa Ndege hapa Dar kupokea Ndege Airbus na kasisitiza watu wasile Nyumbani kuna ubwabwa wa bure Kwa wote. Jee hii yaweza kuwa kweli maana Kwa hali ilivyo ngumu kwa waTz umati waweza kuwa mkubwa na wengi wakaambulia patupu.
Ila mshangao wangu isisitizwa kama una shati au kilemba cha KIJANI basi uvae ili upewe kipa umbele.
Ila mie naenda Taifa kumng'oa Nkana
Wee pitia tu kwenye upokeaji ndege ukirudi unafika kwenye flyover ya Mfugale unakata kulia kama waenda kwenye daraja letu jipya la Kigamboni huyooo hadi kwa Mchina ukawaone Nkana

Tumeweza kununua mijidege mikubwa mikubwa tushindwe kuwalisha ubwabwa watu elfu kadhaa! Kwani shingapi banaa?:D:D:D
 
Kuna kiongozi wa chama kimoja (sikitaji kuepusha msuguano) amepita mitaani kwetu anahamasisha kwenda Uwanja wa Ndege hapa Dar kupokea Ndege Airbus na kasisitiza watu wasile Nyumbani kuna ubwabwa wa bure Kwa wote. Jee hii yaweza kuwa kweli maana Kwa hali ilivyo ngumu kwa waTz umati waweza kuwa mkubwa na wengi wakaambulia patupu.
Ila mshangao wangu isisitizwa kama una shati au kilemba cha KIJANI basi uvae ili upewe kipa umbele.
Ila mie naenda Taifa kumng'oa Nkana
Wewe Upuuzi haukuishi
uambiwe ww kama nani!!
Wacha sie twende ww nenda kapige deki choo cha ufipani ndio Kunakufaa
 
NA HAITAKUJA KUWEZEKANA NDEGE MOJA IUZWE NA MABEBERU WA DUNIA NZIMA..Beberu huyu atakuuzia hiki, mwingine atakuletea msaada, mwingine atanunua korosho zako, mwingine atajenga hiki, mwingine atakuletea teknolojia..etc Hivyo kwenye kila utakacholetewa na bebeeru MMOJA, KUTAKUWA NA BEBERU WALIOBAKI..!!!!!!!

Sasa akuletee teknolojia, then ageuke kuja kukupinga…. UNFORTUNATELY, COMMON SENSE IS NOT COMMOMN..!!!!
Mkuu nipo bampa to bampa na weye!Basi nini kifanyike zaidi ya kuwasifu mabeberu kwa kusema oyeeeeeee!!
 
Hasira za nini mkuu wangu MOTOCHINI ? Nimesema kapita mtaani anatangaza sio kuwa kanifata mie kapuku nisiyejulikana.
Au hutaki niende ili ule ubwabwa peke yako? Hata kwenye ubwabwa unaweka itikadi?
Hahahahahaaaa!Umemjibu kiungwana na unyenyekevu mno.Ila yeye hataki kuupokea ujumbe.Au ana itikadi ubwabwa?Tukaipokee ndege kutoka kwa mabeberu huku tunabugia wali maharage.
 
Kuna kiongozi wa chama kimoja (sikitaji kuepusha msuguano) amepita mitaani kwetu anahamasisha kwenda Uwanja wa Ndege hapa Dar kupokea Ndege Airbus na kasisitiza watu wasile Nyumbani kuna ubwabwa wa bure Kwa wote. Jee hii yaweza kuwa kweli maana Kwa hali ilivyo ngumu kwa waTz umati waweza kuwa mkubwa na wengi wakaambulia patupu.
Ila mshangao wangu isisitizwa kama una shati au kilemba cha KIJANI basi uvae ili upewe kipa umbele.
Ila mie naenda Taifa kumng'oa Nkana
Taifa tutakuwa wote tukiwapa nguvu wachezaji wetu. Bonge la mechi, sio ya kukosa.
 
Angalia uchangiaji wangu utafurahi.Unatumika na mabeberu kuandika "sledi" humu JF.Kuwa muzarendo.Tangu tujue kutumia neno beberu mtatukoma.
Asante nashukuru kwa ushauri,nimeufanyia kazi...nimependa kipengele kimoja cha diet,,, Mandaz na chill sosi!. Na juice ya Bamia.. Ngoja nijanadae kwende kupokea jidege letuu ila hapa nna 500 LA kwenda sijui kurudiii,,,CCM oyeeeeeeeeee
 
Mkuu hapana shaka kabisa.Mimi naendelea uzuri sana kimaisha.Sina manung'uniko kama wale watumikao na mabeberu. Lakini cha kushangaza:Mimi najiona nimenawri ila majirani wenye hila na inda wananiambia eti sina siha njema,ngozi yangu imepauka kama nakula saruji.Wivu wao tu.
 
Hasira za nini mkuu wangu MOTOCHINI ? Nimesema kapita mtaani anatangaza sio kuwa kanifata mie kapuku nisiyejulikana.
Au hutaki niende ili ule ubwabwa peke yako? Hata kwenye ubwabwa unaweka itikadi?
Acha ujinga bwana
yupi alotoa Matangazo!
wewe pekeako ndio upo mjini wengine hatujausikia huo ubwabwa
 
Mkuu achana na misukule ya Akina Lissu, hawana la maana zaidi ya kueneza porojo za kijinga ili wajisikie nafuu akilini mwao.
Acha ujinga bwana
yupi alotoa Matangazo!
wewe pekeako ndio upo mjini wengine hatujausikia huo ubwabwa
 
Acha ujinga bwana
yupi alotoa Matangazo!
wewe pekeako ndio upo mjini wengine hatujausikia huo ubwabwa
Duh! kweli kila siku sio ijumaa, mpaka Sophia DC katangaza wewe unakataa!
Nimeamini mchoyo sio MTU, haya nenda kale ubwabwa peke yako na makada wenzio acha sie twende tukamchape Nkana
 
Mkuu nipo bampa to bampa na weye!Basi nini kifanyike zaidi ya kuwasifu mabeberu kwa kusema oyeeeeeee!!
Kiongozi, wewe haupo BAMPA TO BAMPA NA MIMI.... TUNATOFAUTIANA KWENYE MITAZAMO... wengine tupo ROYAL kwa NCHI na si MTU...
unapokwenda kununua ndege kwao ni kwamba unawasifu.. yaani in other words, UNAWASIFU KWA UWEZO WAO, HADI UKAONA UKANUNUE KWAO....

And unfortunately hatuna namna, kama ni ndege lazima twende kwao.. teknolojia lazima twende kwao, misaada lazima twende kwao… SISI UWEZO WETU NI KUWA NA WATU WASIOJULIKANA, Kuvunja katiba tulioyoitungwa wenyewe (eg. kutumia hela bila bunge kuruhusu bajeti itumike etc..), kufungia mikutano ya siasa (MIND YOU SIYO KAMPENI), Kuwafungia akina Diamond, kutumbua, kulinda akina Bashite, UHAKIKI USIOISHA, kufungia magazeti, kushusha walimu toka SEKONDARI KWENDA SHULE ZA MSINGI....etc
 
Back
Top Bottom