Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja sh.30000/- kila mmoja yaani umeme wa sh.60,000/- ndiyo unatosha kumaliza mwezi eti kwa kuwa kila mmoja ana TV screen na kwamba kwa Siku TV moja inatumia units mbili,naomba anayeujua ukweli aijuze tafadhali!
Kijana jiongeze.
30,000 hela ya kunulia nyama kilo mbili na nusu unaileta hapa.
Hela ya kununua castle lite 20,
Nauli ya Same/Dar?
Wewe mkinga wa wapi?
Wapare tunasingiziwa mengi Sana lakini hatujafikia ubahili wa ku discuss 30,000. Hela hata kusukia Rasta za mwanamke haitoshi.
 
Back
Top Bottom