Nimealikwa forever business kwa anaejua kabla sijaingia mkenge

Nenda tu mkuu,hata wakina Mo/Mengi hio biashara imewatoa sana.

Baada ya miezi 3 utaendesha Range rover huku ukiishi mitaa ya sea cliff kule.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nenda ukachangie M utumie bidhaa, kwa ahadi kemkem. walishasema waungwana- ukiona unaitiwa fursa jua wewe mwenyewe ndio fursa.
 
Bidhaa huwa ni nzur na ndo maana utashawishika kuona watu wanatoa shuhuda zao tatizo ni bei zabidhaa hizo ni kubwa mno kiasi cha kufanya watz kama ss kushindwa kununua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2014 nilikuwa mpanda mjini ikatokea fursa ya hawa jamaa. Tulienda kuuza dawa kitaa yaani tulikuwa tumejulikana, mkipita sehemu wengine wanawacheka na kejeli kibao. Dawa zenyewe zilikuwa very expensive sana. Nilichofanya ni kugeuza na kwenda kuwakabidhi dawa zao na kisepa home.
 
Back
Top Bottom