Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

Habari wana JF,

Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi.

Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda, tatizo langu sasa kiukweli namiss mapenzi mbaya, saizi nimekuwa navutiwa na wanaume ovyoovyo yani natamani hata anishike mkono tu.

Nisaidieni mwenzenu nifanyaje niepuke na hili pepo jamani

Natanguliza shukrani
Nyege sio tatizo ni kawaida kuwa nazo wala huitaji ushauri unahitaji dudu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom