we jamaa umenichekesha sanaunatamani ukamuue.ila unampendaHabari wana JF
Hapa nimebakia njia panda muda huu leo baada ya kumpigia mpenzi wangu simu! Ambaye tulipendana saaana, siku za nyuma hapo tulikosana lakini tukapatana tena maisha yakasonga leo hii nimempigia simu ananijibu majibu ya mkato sana. Nikituma sms anajibu kwa mikato nikimuulza shida nini? Anasema hakuna mpaka nilipo mbona saaana akatamuka tu neno moja " naomba uniache " Nikamuulza kivipi anasema tuu nimuache hanipendi.
Tena nashindwa kumwelewa shida nini! Hapa nilipo na hasira natamani hata nikamuue lakini siwezi! Na kumuacha nashindwaaa kabisa naombeni ushauri nifanyeje katika hili?
Sio poa kabsa
Da ndo wewe unaeongelewa apo au mimi ndo sielewi???ulivyoandika tu nataka nikamuue nimejua na wewe mana ndo maneno yako.we kaka mbinafsi sana nilivyojitoa kwako kwa moyo wote unajua ulichofanya.lazima uwe na hasira sababu we ndo mnufaika wa mahusiano what did i get from you zaidi ya kutufolenisha
Yule jamaa ulishaga msahau???Kubaliana na matokeo na usonge mbele, ni mapito tu kuelekea ukubwani, utakua sawa. Na utapata bonge la babe mwingine mzurii.
Oi kuna mbinu unaijua ninUkishindwa kabisa kumsahau nicheck pm mkuu,mwanaume huwezi achwa kirahisi hivyo.
Duh nawe umeachwa pia?Oi kuna mbinu unaijua nin
Hata mimi siku ya nne,nimepgwa chini niliandik uzi wangu wa kuachwa ukoHuu ni msimu wa kuachana kwa hiyo kubaliana na hali tu kuwa umeingia msimu mwingine. Kama ilivyo kutoka kifuku kuja masika ....Sasa wewe kubali kuwa tumehama msimu ukitaka kililia msimu ulio pita trust me itakula kwako....
Na kwa Sasa kutakua na nyuzi nyingi tu za kupigwa vhini