Daktari wa minyoo
Senior Member
- May 15, 2019
- 117
- 114
Alikua ni binti mrembo sana kwa sura rangi ya maji ya kunde, sura nzuuri tu sikuona dosari yoyote ile.
Hata umbile lake pia lilikua ni zuri kweli kuanzia needle, kiuno pale kati, bastola na mabom kama yote vile, nywele low cut, so gharama za kwenda saluni naona kwake sio kizingiti.
Nilikua nasita muda wote nimfate walau hata tufahamiane, ama lah!
Shida ilikua tu kwenye ile miguu (makanyagio hasahasa) yani kusema kweli waweza sema ameazimwa na kiboko make ilikua kama ya alien flani hv kutoka SAYARI nyingiiine kabisa tena ukijumlisha na vile vijisendo alivyovaa, vilivyo utafikiri bubble gum.
Kwakweli mpaka leo hii nusu ya nafsi yangu inanilaumu kuacha mtoto aniponyoke bila hata kumwambia "mambo"
Wakati huo huo picha za ile miguu zimeitawala nusu ya nafsi yangu na kuona ni uamuzi sahihi kabisa hata kutomsemesha yule bibie.