Jitahidi safari hii uolewe na mwizi akitaka kukuacha mtishie kuvujisha siri.Mie niliachwa tarehe 7/2/2016 siku ya jumapili
Mwakani tukumbushane hizo tarehe basi ili tusheherekee miaka kadhaa ya uhuru
Hapo kama naona unavyomlagai mtoto wa watuBibie waonaje ukiwa nami binadamu nisiejua kuacha...?
Tena nisie mashaka Kama mla mbatata,nitakujaza furaha isiyo mashaka,si tu chochote utapata Bali hata kuacha hutataka!,si kwasababu ya makwata Bali utamu matata.
Ndimi wako wakili,hata usifikiri
Nipe yako asili,usiku nikusitiri.
@agata EdwardNa Mimi nimeachwa
Na Mimi nimeachwa
Usinipeperushie njiwa wangu hlf hakuna ulaghai hapo Bali utamu tamuni hamu hamuni. Ulaghai Babu yangu hakuwahi kunifundisha ila kupenda penye upendo hapo ndipo alipoliwasilisha somo lake kwangu na bila hiana Wala lawama somo lake limeujaza kibubu Cha mapenzi yangu.Hapo kama naona unavyomlagai mtoto wa watu
Kweli alokuacha alikupa pengo.Mie niliachwa tarehe 7/2/2016 siku ya jumapili
Mwakani tukumbushane hizo tarehe basi ili tusheherekee miaka kadhaa ya uhuru
Mimi hata kipande cha sabuni ya komoa siwezi kumpa apigie puchu.Kwa uandishi wako huo siwezi kukupa utomb3 hata mbwa wangu
Asante sanaPole sana.
Kweli alokuacha alikupa pengo.
Nmejaribu kujiridhisha kama ilivo kawaida yangu.
Kweli 7/2/2016 ilikua Jumapili.
Pole kwa kuacha.
Ungemtaimu !!
Jitahidi safari hii uolewe na mwizi akitaka kukuacha mtishie kuvujisha siri.
Bibie waonaje ukiwa nami binadamu nisiejua kuacha...?
Tena nisie mashaka Kama mla mbatata,nitakujaza furaha isiyo mashaka,si tu chochote utapata Bali hata kuacha hutataka!,si kwasababu ya makwata Bali utamu matata.
Ndimi wako wakili,hata usifikiri
Nipe yako asili,usiku nikusitiri.
😢
[/QUmu utapata tafuta
Ivi mwanaume anayekuacha kwakuambia kwanzia leo mimk naww basi... Au yule anaye acha-kwafaida..Hahahaha hiyo siku naikumbuka vizuri kama imetokea jana tu
Ivi mwanaume anayekuacha kwakuambia kwanzia leo mimk naww basi... Au yule anaye acha-kwafaida..
Yaan akiwa amekuham anakutafuta ... Yupi bora??
Pole sana
Let 7/2/2020 Lafu tugeza !!.
iyo inaitwa ukimmis, mwambie majukumu mengi mama ila nakukumbuka!!Ni heri anayeniambia moja kwa moja nijue,halafu ni heri pia ukiacha mtu uwe umemaanisha kwamba unaacha...sio unamuacha mtu tarehe 7/2 halafu tarehe 8/2 unakuja kusema hukusema umeacha
iyo inaitwa ukimmis, mwambie majukumu mengi mama ila nakukumbuka!!