Nimeachana na Mpenzi wangu!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Ndugu wana MMU kama heading isemavyo Hapo Juu, Leo saa sita usiku nilikuwa Nachati na mpenzi wangu akawa kama haeleweki mara katika kuchati nikamtumia Hiki ki emoji Flan kama cha Kupuuzia demu akamind basi ikabidi nikabembeleze kakawa kanakataa ila kakaja kukubali shingo upande, Nikahisi basi hapa kutakuwa kuna jambo maana jumamosi usiku kalinletea story kwamba babake kashika simu yake na kasoma text zetu zote zilizokuwa zinahusu Mapenzi basi akadai mzee wake amemnyanganya simu na itakuwa Ngumu yeye kuwasiliana na mm na mm nkatake easy kama vile sikujali kakini nikiwa najaribu kudadavua kwamba je hapa huenda tatizo likawa ni nini!, Basi ndo iyo leo kumuuliza du u want to break up with me? Kakajibu if u want its fine, nikamuuliza tena toa jibu moja akajibu yes i want to!
Kiukweli japo sikumpenda kihivo uyu demu ila sikupenda kuachana naye kwa wakati Huu ambao sijapata ata reserve yake Ndipo Nilipokumbuka Maneno ya Mwanangu Mmoja ambayo niliyapuuzia siku Moja kwamba mwanangu YOUR GIRLFRIEND WO'NT BE YOUR GIRLFRIEND TOMORROW BUT 100 BILLION DOLLARS WILL BE 100 BILLION DOLLARS
Japo sikukapenda Kihivo ila nahisi kama inaniuma Maana she use to share her time with me! Na kalikuwa na Maneno Matamu kweli ambayo kama mwanaume sio Mjanja unafall vibaya!
Anyway Nsiwachoshe sana Ndugu ila wanaume wenzangu DON'T TRUST ANY WOMAN, JUST FULLFIL YOUR INTEREST THEN MOVE ON!
Then Naona Kabisa Nikiwa single Kwa Muda Mrefu!

Nawatakia Jumatano Njema!
 
Then Naona Kabisa Nikiwa single Mpaka nitakapofikisha Miaka 25!

Nawatakia Jumatano Njema!
Hahaha ulibip akakupgia kinachokuuna ni kwamba ulidhani anakupenda sana kumbe kawaida ulidhani wewe ndiye unamlaghai kumbe naye anakuchora...
 
417704.jpg
HUKU HAKUNA WAPENZI?
 
Pole sana, hizo ndo UPS & DOWN za kimaisha, fanya mambo mengne cause mapenzi yapo tuu but remember your "FUTURE" moves on na at last utakuja ona " The spot of SUCCEESS gets smaller and you get BIGGER"
 
Back
Top Bottom