Nime switch from Apple Music to Spotify mpaka sasa naenjoy Exprience and am feeling lucky

Jorge WIP

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
3,567
5,288
Spotify imefika ipo kwa Android na iOS I know kwamba apple music nayo ipo available mpaka kwa android, sema kati ya hizi Platforms mbili zote nmetumia ila naona niko inlove na spotify sema mda utasema labda ntabadili mawazo.

Sijajua wanangu ninyi mnaonaje maana kila mtu na taste tofauti si unajua.
 
Kwani Spotify haikuepo kwa Android...!? Au una maana gani?

Make mimi nimeitumia sana mwaka 2016 - 2018 kwa family accounts za zilizodukuliwa nilikua na access premium services.. Nikaachana nayo!
 
Spotify imefika ipo kwa Android na iOS I know kwamba apple music nayo ipo available mpaka kwa android, sema kati ya hizi Platforms mbili zote nmetumia ila naona niko inlove na spotify sema mda utasema labda ntabadili mawazo.

Sijajua wanangu ninyi mnaonaje maana kila mtu na taste tofauti si unajua.
Spotify ni habari nyingine kwa Apple Music, hata huko mitandaoni inasifiwa sana kwasababu algorithm yake ya kukuletea miziki ambayo inahisi inaenda na preference yako iko safi kabisa.
 
Apotify ni habari nyingine kwa Apple Music, hata huko mitandaoni inasifiwa sana kwasababu algorithm yake ya kukuletea miziki ambayo inahisi inaenda na preference yako iko safi kabisa.

Kweli Algorithm yake iko vizuri sana unakuta Wanakuwekea Daily Mix, Miziki kutokana na Mood uliyonayo ni nzuri sana

Pia usiku napenda option ya timer, unaset playlist yako baada ya nusu saa au mda uutakao/mtakao unajua utakuwa umelala nyimbo zinastop exactly mda ule ule, sio umelala nyimbo zinaimba hadi asubuhi
 
Spotify haina shida, inafanya kazi vzr kwenye OS zote tofauti na Apple Music sijajua ikiwa inatumiwa kwenye Android kama ni nzuri au la
Vipi ulaji wake wa bando!
Mfano nikisema nisikilize masaa 12 mfululizo nitatumia GB ngapi kwa makadirio
 
Vipi ulaji wake wa bando!
Mfano nikisema nisikilize masaa 12 mfululizo nitatumia GB ngapi kwa makadirio

Sina uhakika na hili jibu ila haziwez pita 1.5 GB besides kuna option ya kusikiliza offline Kwa premium, unaweza download chap zikakaa tu

Kuhusu bundle spotify hainywi kabisa
 
Natokaje hapa? Hii ni iOS.
 
Attachments

  • IMG_2076.png
    IMG_2076.png
    93.5 KB · Views: 12
Back
Top Bottom