Nime switch from Apple Music to Spotify mpaka sasa naenjoy Exprience and am feeling lucky

Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
532
1,000
Spotify imefika ipo kwa Android na iOS I know kwamba apple music nayo ipo available mpaka kwa android, sema kati ya hizi Platforms mbili zote nmetumia ila naona niko inlove na spotify sema mda utasema labda ntabadili mawazo.

Sijajua wanangu ninyi mnaonaje maana kila mtu na taste tofauti si unajua.
 

Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,399
2,000
Kwani Spotify haikuepo kwa Android...!? Au una maana gani?

Make mimi nimeitumia sana mwaka 2016 - 2018 kwa family accounts za zilizodukuliwa nilikua na access premium services.. Nikaachana nayo!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom