Nime poteza iphone

peterK2

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
289
90
Msaada kwa mwenye kujua nime poteza simu yangu aina ya iphone 4s,nime jaribu kutumia icloud yangu kuitafuta lakini ina ni ambia your device is offline.hakuna namna nyingine ya kuweza kuipata means inipe location ilipo
 
Naombeni kujua namna ya kutoa icloud kwa IPhone 4s wakuu Nitashukuru kwa yeyote ambaye atanisaidia.
 
Hahaha yani akija MTU kaibiwa au kapoteza Simu basi wakutaka kujua jinsi ya kutoa password nao wako karubu
 
Kutoa icloud ni mtihani ndugu zangu, si mchezo hapa ndipo Iphone walipocheza kwenye swala la security kwa kweli wapewe hongera zao, maana kama ni kutoa lock za line kwenye iphone kutumia line yoyote inawezekana kabisa unaweza wasiliana hata na mimi nikakusaidia pindi inapokuwa imefungwa.
 
Msaada kwa mwenye kujua nime poteza simu yangu aina ya iphone 4s,nime jaribu kutumia icloud yangu kuitafuta lakini ina ni ambia your device is offline.hakuna namna nyingine ya kuweza kuipata means inipe location ilipo
Itakuwa ishaondolewa maana kutoa icloud kwa iphone 4 ni rahisi sana kwa mjanja. Zile hazina hardware ya kutosha
 
Msaada kwa mwenye kujua nime poteza simu yangu aina ya iphone 4s,nime jaribu kutumia icloud yangu kuitafuta lakini ina ni ambia your device is offline.hakuna namna nyingine ya kuweza kuipata means inipe location ilipo

Pole sana mkuu,
Nakushauri nenda karipoti polisi kama una IMEI number ya hiyo simu, siku hizi wanafanya kazi nzuri sana ya kutafuta simu zilizoibiwa wakishirikiana na TCRA.
Mi nilishawahi kupoteza simu niliipata bila shida yeyote na kama ni mwizi unakamata akiwa hajui kama anakamatwa.
 
Back
Top Bottom