Nimetofautiana na jirani yangu, naombeni ushauri

Mkuu utafanyaje hayo mambo ya kisheria ni mapana sana na hata kama ukilipwa fidia it doesn't matter nakushauri tafuta watu wa kazi usiku mnene tena huko mwanza siku hizi mvua zinanyesha wamalize miti yote
Sawa mkuu wangu
 
Baraza la kata la ardhi linatatua hilo suala.

Atapewa notisi ya kukata tena kwa gharama zake.

Tena kama viwanja vimepimwa ni much better
 
Askari wa cheo cha chini sana huyo, kamripoti kwa mkuu wake wa kituo tu na kesi inaishia hapo. Tena mwambie kwa uwazi kuwa kwa kuwa mmeshindwa kuelewana basi unapeleka hilo suala kwa mkuu wake wa kazi.

Vv
Ahsante sana kwa ushauri wako mzuri mkuu
 
..yani niweke familia yangu kwenye wasiwasi wa kiusalama kisa jiran anataka aongeze thaman ya kiwanja chake..subra na uvumilivu wa hivyo ndo umeturudisha wengi nyuma...yaan ungetakiwa uje na thread yenye heading ya,JÀNA USIKU NIMEKATA MITI MINNE YA JIRANI,HAPA NASUBIRI KITAKACHOTOKEA NIPAMBANE NACHO
 
Mie mwoga sana mkuu!!! Ni jasiri tu hapa kwenye keyboard nikiwa JF lakini kwa nje sio jasiri kabisa yaani
 
1. Jenga hoja kwa majirani na wazee wenye busara wanaoheshimika hapo mtaaani wakikupa support mwitishe kikao kuongelea madhara ya huo mti, uwe tayari kutoa miti rafiki ya kuitunza kwa muda
2. Kama ikishindikana peleka kwa baraza la ardhi la kata na akikataa barua ya baraza wa state kuwa madhara yatakayojitokeza au kusababishwa na huo mti mwenye mti atawajibika kisheria na kulipa fidia

Jaribu sana kutumia njia ya ujirani mwema kusuluhisha ikishindikana vaaa buti na songa mbele
 
Angalia usije kuogopa hata kivuli chako. Amua ama kuwa muoga au kuwa jasiri. Ukiwa jasiri hata adui yako atakuogopa lkn ukiwa muoga, hata mbwa koko atakukimbiza, kuwa muoga au jasiri ni suala la kuamua tu, kumbuka hofu ni mlango wa adui.

The only thing you need to fear is the fear itself!

Ahsante kwa ushauri muzi
 
Precisely
 
kabla ya kwenda huko kwenye kata au serikali za mitaa hakikisha unawashirikisha jirani zako wa kutosha na unapata sapoti yao.
 
Kata tu akuleleke kwenye baraza la ardhi yaongelewe na labda ulipishwe faini ugomvi uishe. Mie jirani yangu mkorofi sana, nlimfanyia hivyo kwa miti aliyootesa bila ridhaa yangu kwenye mpaka!!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom