Nimalizapo tu!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Kwenu wakuu ninatatiza nikimaliza kushusha basi utazani usingizi ni wawiki kumi nalala nini kisababishacho msaada tutani.
 
Ninafanya gym zoezi ndo kwao labda tatizo jingine na njaa hapa siyo kwao!!
 
Pata Masturbation kabla ya kuanza mechi yeyote! Vinginevyo kula tiGo hakuna kulala huko
 
PHP:
Kwenu wakuu ninatatiza nikimaliza kushusha basi utazani usingizi ni wawiki kumi nalala nini kisababishacho msaada tutani.

Kakakiiza huwa unalala nawewe hi picha yako sithani kama utalala mkuu shughuli huwa pevu au huwa una fanya romas mda mrefu sana jaribu kupunguza muda au ama huwa unana rudinyumbani umechoka lakini sio tatizo hilo hutokea kwakilamtu
 
Pata Masturbation kabla ya kuanza mechi yeyote! Vinginevyo kula tiGo hakuna kulala huko

We mbona una hatari namna hii!!!!? Ushauri wako kama nguvu za giza mwe!!!
Hiyo ni hali ya kawaida kwa baadhi ya wanaume wengi na mara nyingi inatokana na mzidiaono na uchovu wa shughuli za kutwa nzima ila usiziendekeze utaachwa ni vizuri kupanga mambo yako sawia na mapumziko na hakikisha kuwa demu wako anafurahia kabla yako au wote pamoja na baaday ahapo mkande polepole mpaka alale nawe unaweza kulala kidogo na uamke wa kwanza umrudishe uwanjani.

Preta unaitwa kuchungulia ila usichangie.

NB: Try to be a gentl. Hatakuacha kamwe
 
Kwenu wakuu ninatatiza nikimaliza kushusha basi utazani usingizi ni wawiki kumi nalala nini kisababishacho msaada tutani.

Inaonyesha mkuu kwako kwenda round mbili na kuendelea huwa ni msamiati!!!!pole sana,tuliza akili na jaribu kuconcentrate na kile unachokifanya kwa wakati huo!

Maria Roza anaweza akaongezea hapo kwa ushauri zaidi!
 
Same to me but ameshanizoea hakuna shida

Wewe Mbona dena amsi ni mwanamke!!? Waulize wambulu. Ila kama matatitzo hayo yamezidi sana uwe unavta hisia zako za kitu cha zamani jogoo atakuwa juu daima angalau utafikisha mabao mawili
 
Wewe Mbona dena amsi ni mwanamke!!? Waulize wambulu. Ila kama matatitzo hayo yamezidi sana uwe unavta hisia zako za kitu cha zamani jogoo atakuwa juu daima angalau utafikisha mabao mawili

Kama ni mwanamke yeye hamalizi na kulala? Wewe mimi ni muirawq original sio Mbulu utaanza kuita Mbabati, Mkaratu Mhanang' na kadhalika
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom