Ni maeneo gani ambayo huwezi kuambiwa karibu tena?

Majan

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
1,165
1,515
Nidesturi ya sehemu nyingi kuambiwa "KARIBU TENA" baada yakupatiwa huduma fulani lakini maneo haya kamwe huwezi kuambiwa karibu tena nakama utaambiwa hivyo basi utahisi unatakiwa NUKSI ama UCHURO baadhi yamaeneo hayo ni:
(1):-MORTUARY
(2):-KWAMUUZA MAJENEZA
(3):-GEREZANI

Ongeza na wewe sehemu unayozani huwezi kuambiwa "KARIBU TENA"

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom