Nilizuia umwagaji wa damu Tanzania-Dr Slaa

Mawazo ya watu wengine ni sawa na Mizoga inayotembea
ameiumiamkeslaa.jpg

Huyu alijipaka tomato sauce?
 
Daktari wa kanoni anapodanganya umma.

Ni nani asiyejuwa kuwa aliingia mitaani mara mbili na mara ya kwanza wakalambwa risasi kule Arusha na Mashumbusi akala mkong'oto na mara ya pili akabambwa kajificha chini ya gari kwenye maspika pale Arusha.

Asiseme uongo. Sasa naona sababu zilizomkimbiza upadri, ni pamoja na hiii ya kutokuwa mkweli.
baereze wabunge chini ya hamsini sijui uraiswalishinda kwa kura za nanikweli haws watu hamnazo .padre haipendezi Kuwa muongo nenda tu kaungame kwa mapadre wenzio
 
uungwa aliofanya Dr Slaa, viongozi wengi wa afrika unawashinda.... maana kuna maslahi binafsi na taifa, ambapo Dr alitumia busara zake kuwaepusha watanzania na kauli yake kama angetamka lolote wakati ule, basi yale yaliyotokea kwa wenzetu yangetukuta
 
Dr tunakushukuru kwa busara zako maana hadi sasa najua tume ya uchafuzi ilichakachua kura zako.niulize,je ukichakachuliwa tena utanyamaza?
 
Ndugu, hakuna kura hata moja iliyoibiwa. Labda hesabu zikosewe na ingeweza kuwa in favour ya Slaa. Kukosea hata USA inafanyika.
Slaa asidanganye watu wasioelewa mambo yaendavyo. Na hii kitu ndiyo inawagharimu Chadema mara kwa mara~ Tabia yao ya uzushi na uwongo. Ni muda mwafaka kwa Slaa kutambua kuwa anahitaji kusema ukweli ili wapiga kura wa ukweli wampe kura. aliohutubia jana na kumshangalia chini ya nusu hawana kadi za kura. Kwa mtindo huu Atazeeka bila kukaa Ikulu kama mwenzake Maalifu Seif ambaye ilibidi ajipendekeze kuweza kuwa Rais
 
Unatoka mapovu ya nini?
 
baereze wabunge chini ya hamsini sijui uraiswalishinda kwa kura za nanikweli haws watu hamnazo .padre haipendezi Kuwa muongo nenda tu kaungame kwa mapadre wenzio

Pole sana.Presure itakutoa roho
 
Chaguo la wengi ni chaguo la Mungu, waliomchagua huyo wao TISS sijui wanaonaje sasa manaake mambo magumu na baado!
 
Nyie mnao coment hovyo subirini tuu mtaona, muda si mrefu maumivu yanaanza taratibu! Muda si mrefu yataonekana yoote!
 
baereze wabunge chini ya hamsini sijui uraiswalishinda kwa kura za nanikweli haws watu hamnazo .padre haipendezi Kuwa muongo nenda tu kaungame kwa mapadre wenzio
Anayestahili kwenda kuungama ni Mh.Dr Dr Dr Jakaya Mrisho Kikwete chini ya mwaka baada ya uchaguzi mawaziri nane wanaq'oka na waziri wake mkuu yuko rehani

serikali imefirisika
heshima ya nchi imepungua kwa asilimia 100%
Jiulize kama kweli hakuingia kwa hila madarakani
na asubiri CCM inamfia na serikali yake itaanguka ataitisha uchaguzi kabla 2015
 
Dhuluma haifai bandugu. Angalia dhuluma ya kura aliyoifanya JK na waumini wake inavyomwandama na kumtafuna. Amin, amin nakwambia ewe JK na CCM yako, 2015 haitafika kabla muujiza haujatokea. Utaandamwa na mikosi mingi ya kiutawala (kama sakata la kuvunja baraza la mawaziri), na nakwambia utaikimbia nchi.
 
kikwete atampisha tuu dk Slaa Ikulu mwenye kwani kwasasa baraza la mawaziri lina jivua gamba kama ilivyo chama chake cha magamba sasa swali ninalo jiuliza je anawatu gani tena wakuwateua pale bungeni kukava hizo nafasi zilizo achwa wazi kwani mawaziri wanao achia ngazi ni buree kabisa walio baki bure kabisaaaa sijui nahao wabunge wa magamba waliopo bungeni nao bure kabisaaa atamweka nani au atawaweka nani kwenye hizo nafasi zitakazo bakia wazi
 
Kikwete akimaliza miaka yake ya halali hata aje nani si kitu.
 
Back
Top Bottom