Nilizidisha kilevi juzi,nikamtusi sana bila kujitambua..

Kaumia sana moyoni,kwa kashfa nilizotoa,binafsi hata moja sikumaanisha! .
Jana kaniambia tuachane,imeniuma,nakumbembeleza ! Nimemwambia nastop pombe kwa 2years. . .
Ni mchumba wangu,tuna malengo mengi,,tupo pamoja mwaka wa 4 sasa!
Anadai kachoka kuvumilia,kwasababu ni mara ya 3 narudia kitendo hiki,. .Mara ya pili nilitia hadi tumakofi. . .
Anaheshima,katulia,mimi ndo nakuwaga kidogo nje ya mstari nikipasha sana!. .
Bado namtaka,nifanyeje kwa sasa!

Mie nakushauri uisiache pombe, utakuwa unaongea na nani bwana!?
Usipende kukimbia mmatatizo, jitahidi kuishinda nguvu ya pombe.... inawezekana kabisa!
Jiulize mbona watu wengi tu wenye heshima zao (kama mimi hivi) wanakunywa pombe ilhali wanawaheshimu wake zao! kwanini wewe
ushindwe bwana?
Usijiendekeze, pome sio sumu,..... ukiwa unakunywa uwe unahakikisha unajitambua kabisa kuwa unakunywa pombe na ili uepuke kubwia mipombe mingi, ukishakunywa bia kama bia2 hivi kunywa maji kama lita moja hivi....uwe unakunywa kwa stahili ileile ya kunywa bia.....

Ikibidi badili kinywaji usitumie pombe zenye alkoholi nyingi sana!! Piga hata ....hapo vipi?

Mwombe radhi bibie tumia zile stahili za vitabuni, kama kwenda nae kwenye nyumba za ibada, kwenda nae kwenye shughuli mbalimbali kama vile mpirani n.k
 
Na usipoacha pombe moja kwa moja hesabu hasara. Huyo mchumba utampoteza, na mwingine utakayemtafuta haiyumkini pia utampoteza. Pole
 
hiyo ndio moja ya hasara za pombe,pole kwa matatito but um enishangaza kumwambia kuwa upo tayari kuacha pombe kwa miaka miwili,hiyo miakamiwili ikiisha si utarudia yaleyale? mi nafikiri ni bora kuacha pombe kabisa,haikupendi kijana. ulevii noumaaaaa,funda moja tu litakuumbua,pia usisahau ulevi ni dhambi
 
Nawashangaa mabinti hawa miaka minne unatumika bila ndoa. umeanza kudundwa na matu+si juu. kwa kweli huyo dada aondoka akaanze maisha yake. wewe kidume ukipata akili ndo uoe mzi nzi wewe.
 
tulikua twajipanga mda wote huo. .In 2yrz ndo ndoa. .BTW ntamuoa huyu huyu. .Magube gube nakwachia ponda mali ka wewe. .Au siyo. .
 
hiyo ndio moja ya hasara za pombe,pole kwa matatito but um enishangaza kumwambia kuwa upo tayari kuacha pombe kwa miaka miwili,hiyo miakamiwili ikiisha si utarudia yaleyale? mi nafikiri ni bora kuacha pombe kabisa,haikupendi kijana. ulevii noumaaaaa,funda moja tu litakuumbua,pia usisahau ulevi ni dhambi

thanks mku. .Nikiwa karibu na p.C ntakugonga like. . .Well for now sidhani kama ntaipa nafasi,nataka kuweka sawa kitu kimoja baada ya nyingine,
 
Jana ililetwa hapa
mmoja karudi home amevaa ndomu iliyojaa mchuzi, huyo kasingizia pombe!
Huyu wa leo naye mitusi hadi kidogo mtoto wa watu apate mtikisiko wa
ubongo! Na yeye ukiuliza sababu....pombe!! Hivi mtu usipokunywa pombe
unapungukiwa nini hasa???

Wanapungukiwa na guts za kufanya wanayoyatamani i.e ku cheat,kutukana na kupiga wapenzi wao.
 
not ol. .Mie nipo very extrogeneous. . . .Sina aibu wala nini,confidence zimelala apa . .Kama hunijui,utasema huyu kiumbe . .Damu njema. .Kumbe wala! Ni kuish na watu na kujichanganya
 
Mtajuana wenyewe na mapombe yenu ukiwa hujapasha unatakiwa ujue ukinywa unapata faida gan?
ndo maana mimi kitaa huwa wananita mshamba coz sinyw,sivuti mabifu bifu ya kifara hunikut haimaanish kijiwen sjakaa
nimekaa sana na masela nimewanyongea...., na gongo nimewaleta lkn hata ladha sihijui kabla sjapata kazi

my take: kwa jf wote USIPENDE KUFANYA KITU AMBACHO HAKIKUPI FAIDA NA UKIKIACHA HAKIKUPI HASARA
 
thanks kwa ushauri japo kua umeutoa kwa hasira. .Ila usichoke kuhubiria mkuu. .
My take: nimependa ulivyoweka swala la msimamo wako and nimeuchukua. . Senk you
 
unajua ni nini chalii yangu, we utakuwa unamzarau huyo manzi sema ukipiga kitu cha brown juice ndio unakuwa full mahewa joh unamchana live....unajua manzi anapigwa na nini?? Upande wa kanga au ile kitu yao sio nakoz....alafu arifu unalewaje akili aisee? Unatakiwa ulewe mwili, kulewa akili ni noma chalii yangu....usijaribu tongue twist kama huna pumzi, utajaza mate kipaza...
 
kuna kaka yangu aliwahi kuniambia mtu akikuambia kitu akiwa amelewa ujue alikusudia kabisa kukuambia, hakuwa na guts za kukuambia akiwa mzima kwa hiyo akaamua kukunywea pombe. Usijitetee, mara zote ulizomtukana ulikusudia. muache mtoto wa watu a-rest in peace
 
Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho; - Waefeso 5:18

Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu. - Warumi 14:11

Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana. Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu. - Warumi 12:1,2

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu. - 1 Wakorintho 6:9-11

Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu cho chote. - 1 Wakorintho 6:12

Vivyo hivyo ninyi nanyi jihesabuni kuwa wafu kwa dhambi na walio hai kwa Mungu katika Kristo Yesu. Basi, dhambi isitawale ndani ya miili yenu ipatikanayo na mauti, hata mkazitii tamaa zake; wala msiendelee kuvitoa viungo vyenu kuwa silaha za dhuluma kwa dhambi; bali jitoeni wenyewe kwa Mungu kama walio hai baada ya kufa, na viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za haki. - Warumi 6:11-13

Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli. - Yohana 8:36

Mvinyo hudhihaki, kileo huleta ugomvi; Na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima. Mithali 20:1

Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema. - Mithali 28: 13

Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu. Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote. - 1 Yohana 1:8,9

Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria. - Gal 5:22,23

Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili. - 1 Wakorintho 10:13

Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; - I Wakorintho 6:19

Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara. I Timotheo 5:23

Tangu sasa msiendelee kuishi katika tamaa za wanadamu, bali katika mapenzi ya Mungu, wakati wenu uliobaki wa kukaa hapa duniani. Maana wakati wa maisha yetu uliopita watosha kwa kutenda mapenzi ya Mataifa; kuenenda katika ufisadi, na tamaa, na ulevi, na karamu za ulafi, na vileo, na ibada ya sanamu isiyo halali; mambo ambayo wao huona kuwa ni ajabu ya ninyi kutokwenda mbio pamoja nao katika ufisadi ule ule usio na kiasi, wakiwatukana. Nao watatoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa. Maana kwa ajili hiyo hata hao waliokufa walihubiriwa Injili, ili kwamba wahukumiwe katika mwili kama wahukumiwavyo wanadamu; bali wawe hai katika roho kama Mungu alivyo hai. Lakini mwisho wa mambo yote umekaribia; basi, iweni na akili, mkeshe katika sala. -
I Petro 4:2-7
 
ainaaa noma chal angu. .Ngastuka. . .
 
kuna kaka yangu aliwahi kuniambia mtu akikuambia kitu akiwa amelewa ujue alikusudia kabisa kukuambia, hakuwa na guts za kukuambia akiwa mzima kwa hiyo akaamua kukunywea pombe. Usijitetee, mara zote ulizomtukana ulikusudia. muache mtoto wa watu a-rest in peace

mkuu, . .
Ur bro alisema as a myth. . .I gues sio wote tuko hivyo. .Mara moja tu kati ya ugomvi we2 juu ya pombe ndo nshawah kuongea na yf kwakumchana. ..Ananijua fikra, .<soma past coments kuna mtu nimejieleza kwake juu ya coment kama yako>. .2nawekana sawa kimaelezo guts ninazo. .Maybe ukauende TuME ya kufanya utafiti na kaka ako. .
 
Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho; - Waefeso 5:18

Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu. - Warumi 14:11

Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana. Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu. - Warumi 12:1,2

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu. - 1 Wakorintho 6:9-11

Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu cho chote. - 1 Wakorintho 6:12

Vivyo hivyo ninyi nanyi jihesabuni kuwa wafu kwa dhambi na walio hai kwa Mungu katika Kristo Yesu. Basi, dhambi isitawale ndani ya miili yenu ipatikanayo na mauti, hata mkazitii tamaa zake; wala msiendelee kuvitoa viungo vyenu kuwa silaha za dhuluma kwa dhambi; bali jitoeni wenyewe kwa Mungu kama walio hai baada ya kufa, na viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za haki. - Warumi 6:11-13

Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli. - Yohana 8:36

Mvinyo hudhihaki, kileo huleta ugomvi; Na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima. Mithali 20:1

Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema. - Mithali 28: 13

Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu. Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote. - 1 Yohana 1:8,9

Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria. - Gal 5:22,23

Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili. - 1 Wakorintho 10:13

Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; - I Wakorintho 6:19

Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara. I Timotheo 5:23

Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho; - Waefeso 5:18

Tangu sasa msiendelee kuishi katika tamaa za wanadamu, bali katika mapenzi ya Mungu, wakati wenu uliobaki wa kukaa hapa duniani. Maana wakati wa maisha yetu uliopita watosha kwa kutenda mapenzi ya Mataifa; kuenenda katika ufisadi, na tamaa, na ulevi, na karamu za ulafi, na vileo, na ibada ya sanamu isiyo halali; mambo ambayo wao huona kuwa ni ajabu ya ninyi kutokwenda mbio pamoja nao katika ufisadi ule ule usio na kiasi, wakiwatukana. Nao watatoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa. Maana kwa ajili hiyo hata hao waliokufa walihubiriwa Injili, ili kwamba wahukumiwe katika mwili kama wahukumiwavyo wanadamu; bali wawe hai katika roho kama Mungu alivyo hai. Lakini mwisho wa mambo yote umekaribia; basi, iweni na akili, mkeshe katika sala. -
I Petro 4:2-7

thanks mku. .Understood
 
Back
Top Bottom