Nilizidisha kilevi juzi,nikamtusi sana bila kujitambua..

Jaribu kuacha kabisa leo umemtukana bibiee kesho inaweza kutokea kwa mtu unayemuheshimu zaidi ukaaibika zaidi kilevi noma usipoweza kukontro

Mtu ana Class ya A ya kinywaji anataka kujitia ana Class C ni matokeo yake kutukana watu.
 
Aisee pole sana mkuu yani kitabia tunafanana na tunashare matukio na yote ni pombe,ila baada ya kuona naharibu imebidi niache pombe na vishawishi vyake,omba msamaha na mambo yatakuwa swaaf,ulevi noumaaah!

dah mkuu, . .Umeacha kabisa? Dah kumbe kila kitu kinawezekana,. .Naja huko bro,pombe inataka kuharibu future ase
 
hahahahahah upo serious nikupe. . ? Ntashukuru kweli ukinisaidia kwa moyo mweupe. . .Ata ukitaka vocha za kumpigia ntatuma. . Ila ukifanya kinyume na hapo,ntasikitika sana!
Ntakuaidia mkuu pls niamini.Ana umri gani vile?
 
hapo inabidi uache tu kamanda wangu, manake huyo ukimkosa utakuja oa kitu cha ajabu kama cha huyo jirani yako hapo!
 
ni uongo kusema hukumaanisha,vitu ulivyomwambia ukiwa umelewa ni vile ambavyo hukosa ujasiri kuvisema ukiwa "sober",so labda ana mapungufu,come clean mwambie,bado una nafasi ya kurekebisha mambo pasipo kutegemea pombe
 
kama ulikuwa pombe umewezaje kukumbuka uliyomwambia?na kutuandikia sisi humu?:shetani:
 
Yani niliacha taratib kwa kupunguza idadi huwezi amini saivi watu wanashangaa imekuwaje nimeweza,umalaya nimeacha na baby saivi tunaheshimiana mpaka raha
dah mkuu, . .Umeacha kabisa? Dah kumbe kila kitu kinawezekana,. .Naja huko bro,pombe inataka kuharibu future ase
 
Unastahili kuachwa kwa sababu hii ni mara ya tatu kumtenda!!!!

Kwanza inaonekana matusi yapo akilini mwako na ukipata stimu ndiyo unaamua kumshikia maiki!!!!

Nashauri huyo demu ashikilie msimamo wake ili uanze upya uone kama utapata anayependa kutukanwa na kudhalilishwa kwa kigezo cha ndoa.

dah ndugu,binadamu tunajifunza na kubadilika,i will be much better,i have tested the music,and its not good,nimejirudi,naamini ataelewa hicho . .Umri unasogea,hatuna muda wa kupoteza katika uhusiano
 
hapo inabidi uache tu kamanda wangu, manake huyo ukimkosa utakuja oa kitu cha ajabu kama cha huyo jirani yako hapo!

hahahahahahahahahahaha ndugu . .KamA MCHAWI WEWE ASE...nimekaa na jirani apa tunabadilisha mawazo,hakyamungu huyu mwanamke wa ajabu kweli kweli,anaitikadi za ajabu,hana bwana kutokana na vielement vyake vya ajabu ajabu. . .
 
Yani niliacha taratib kwa kupunguza idadi huwezi amini saivi watu wanashangaa imekuwaje nimeweza,umalaya nimeacha na baby saivi tunaheshimiana mpaka raha

dah,bro your myrole model kwenye aspect hii, . . . Mie umalaya ndo walaaaa,japo nasumbulia sometimes ila ye hanaga hofu na mie,nae kama kawa kusumbulia sio kivile,anajiheshimu sana,hadi mtu kumtongoza. .Bas kweli atakua na matatizo yake! . .ananiamini nami namuamini hadi raha,ila kileo bwana!Ndo dah
 
ni uongo kusema hukumaanisha,vitu ulivyomwambia ukiwa umelewa ni vile ambavyo hukosa ujasiri kuvisema ukiwa "sober",so labda ana mapungufu,come clean mwambie,bado una nafasi ya kurekebisha mambo pasipo kutegemea pombe

bro believe me,she is every thing,hana kasoro kwa upande wangu. .Nilimtusi sana bila kumaanisha,hadi vingine havina kichwa wa miguu. . .Eg anasema nilimuita muuaji wa mama angu! . .Wapi na wapi,wakat nimefiwa na mama angu 10yrz ago!Before hata hatuja mit. .Kama si upunguwani ni nini?
 
hahahahahah upo serious nikupe. . ? Ntashukuru kweli ukinisaidia kwa moyo mweupe. . .Ata ukitaka vocha za kumpigia ntatuma. . Ila ukifanya kinyume na hapo,ntasikitika sana!
kijana unawaamini wakware wa humu jf? yaani mpaka uwape namba za simu za bibi yako? come on vaiko,this is a social forum,chunga privacy yako!
 
kijana unawaamini wakware wa humu jf? yaani mpaka uwape namba za simu za bibi yako? come on vaiko,this is a social forum,chunga privacy yako!
mkuu,siwezi ase,nilikua namfurahisha kijana uyo. .
 
Fikiria hivi "nina marafiki kumi wote walevi na ninatumia masaa kama manne tu kuwa nao kwa siku, nina mke ninaempenda sana na ninatumia zaidi ya masaa kumi kuwa naye kwa siku, kipi ni muhimu katika maisha yako" mi nafikiri kuacha pombe sio ngumu kihivyo kama kweli una nia ya dhati, usihofu kupoteza marafiki kwa sababu utaacha pombe, utapata wengine
 
....Hustahili kuwa na binti kama huyo, inabidi upate chakaram mwenzio labda ndio utatia akili kichwani. Ukipata bahati ya kusamehewa kwa mara nyingi tena basi achana na kilevi kabisa na wala si kwa miaka miwili bali usiguse tena kilevi maishani mwako, kilevi kinakuharibia maisha yako...utabaki unajuta na kulia kilio cha mbwa.

haswaaa hilo ndo neno
 
aisee pombe mbaya sana...pombe inaharibu mahusiano...wanaume wangapi unawajua ambao ni walevi kupindukia alafu wana uhusiano mzuri na wake/wachumba zao? sidhani kama wapo...pombe na rship haziendi pamoja
 
Fikiria hivi "nina marafiki kumi wote walevi na ninatumia masaa kama manne tu kuwa nao kwa siku, nina mke ninaempenda sana na ninatumia zaidi ya masaa kumi kuwa naye kwa siku, kipi ni muhimu katika maisha yako" mi nafikiri kuacha pombe sio ngumu kihivyo kama kweli una nia ya dhati, usihofu kupoteza marafiki kwa sababu utaacha pombe, utapata wengine
thanks mkuu, . . Well said, . .
 
Back
Top Bottom