Nilizidisha kilevi juzi,nikamtusi sana bila kujitambua..

nipo very determined ku win her heart once again for better good. . .

nina mashaka kama una mpango wa kuacha pombe ili akurudie umweke ndani then uendelee na pombe zako au una mpango wa kuacha pombe kabisa......

Ioa ninachojua mtu anayekunywa pombe na kupiga mke au kutukana huwa haachi tabia hiyo.......
 
Sijasema kuwa umempiga tena nimesema umerudia kosa. Kosa ni kumtolea maneno hiyo maneno.
ndugu, sijarudia kumpiga . .Nilivyomtia makofi,niliapa kuto mgusa tena! Juzi nilimbwabwajukia tu. . .Bila kumaanisha! Ila dah. .<<. .Ngoja nilie kidogo! Majirani hawajaamka bado. .>>
moyo unanituma niskate tamaa!Nimpiganie uyu uyu!
 
Kumbe usharudia mara kadhaa, na sasa unamuahidi eti unaacha pombe for two years only heheheh!! bora akupige chini coz hujielewi kabisa.

miaka 2 . .From where i come from,and where am destined to. . .have faith in me,thats alot!
Kwani mtoto anaanza kutembea tu bila tambaa yeye
 
nina mashaka kama una mpango wa kuacha pombe ili akurudie umweke ndani then uendelee na pombe zako au una mpango wa kuacha pombe kabisa......

Ioa ninachojua mtu anayekunywa pombe na kupiga mke au kutukana huwa haachi tabia hiyo.......

kumtenda tena kihivyo siwezi najua kichwa yangu. .
 
Mimi nilijua utaacha pombe forever ili kuonyesha kweli unajutia matendo yako ya kilevi kumbe ni kwa 2 years only!?!yani unabadilika ili umu-win back na sio for the sake of yourself!poor you..maisha hayaendi hivyo unatakiwa wewe ndo uicontroll pombe na sio pombe ikucontroll wewe..
 
Kaumia sana moyoni,kwa kashfa nilizotoa,binafsi hata moja sikumaanisha! .
Jana kaniambia tuachane,imeniuma,nakumbembeleza ! Nimemwambia nastop pombe kwa 2years. . .
Ni mchumba wangu,tuna malengo mengi,,tupo pamoja mwaka wa 4 sasa!
Anadai kachoka kuvumilia,kwasababu ni mara ya 3 narudia kitendo hiki,. .Mara ya pili nilitia hadi tumakofi. . .
Anaheshima,katulia,mimi ndo nakuwaga kidogo nje ya mstari nikipasha sana!. .
Bado namtaka,nifanyeje kwa sasa!

If you cannot control kinywaji achana nacho! Japo kilaji kina umuhimu wake naamini mke MZURI ni muhimu kwa maisha yako kuliko Lager..
 
Mimi nilijua utaacha pombe forever ili kuonyesha kweli unajutia matendo yako ya kilevi kumbe ni kwa 2 years only!?!yani unabadilika ili umu-win back na sio for the sake of yourself!poor you..maisha hayaendi hivyo unatakiwa wewe ndo uicontroll pombe na sio pombe ikucontroll wewe..

nimekusoma
nimeamua kuanza na 2years ili niweze kujipanga mwenyew upon the path i want to take,.Most of the time hata ninywe vipi sigombanagi kabisa,ila yeye anahofu sana kwa sasa sijaoa,na act childish,nikila kiapo ndo itakwaje?
 
Kuna msemo wanasema wahenga kuwa maneno ya mlevi huwa ndiyo aliyonayo moyoni!Mimi naamini hizo kashfa ulizompa ulikuwa nazo siku nyingi tu moyoni mwako!Huyo mwanamke akikukubalia muendeleze mahusiano atakuwa hana akili!Wewe level zako tafuta ma-barmaid tu!Samahani sikutusi Mkuu lakini nakupa ushauri mwafaka!!

usihofu mkuu,.Sipo katika nafasi ya kunyambua matusi katika ujumbe wako,ila kujifunza na kujirekebisha. . .Katika usemayo..
 
nimekusoma
nimeamua kuanza na 2years ili niweze kujipanga mwenyew upon the path i want to take,.Most of the time hata ninywe vipi sigombanagi kabisa,ila yeye anahofu sana kwa sasa sijaoa,na act childish,nikila kiapo ndo itakwaje?

hata mie nahofia hivyo hivyo!yani hujamuoa unampiga na kumtusi afu unasingizia pombe,je ukimuoa si ndio utarudi asubuhi??
Mwanaume anayejitambua hawi hivyo..
 
U shouldn't worry about loosing her, unatakiwa ujihofie mwenyewe. Hiyo ndio tabia yako! Kama unataka kubadilika, badilika kwa ajili yako mwenyewe manake next utatukana mamako mzazi ama umpige mama mkwe afu shemeji zako waje kukutoa manundu kwa kukuchangia. Natamani nimuone huyo binti nimuambie akuache za maukwelikwelii! Siku mkiudhiana kwenye ndoa itakuwa kipigo na maneno.
Nenda rehab ama kwa maombi. Achana na pombe. Some of us ar living to the fullest, enjoying every free breath without alcohol!

well taken
inshu inaweza kuwa deep kumbe,through your words,i just had second thoughts,why not stop for good? .
 
Jaribu kuacha kabisa leo umemtukana bibiee kesho inaweza kutokea kwa mtu unayemuheshimu zaidi ukaaibika zaidi kilevi noma usipoweza kukontro
 
hata mie nahofia hivyo hivyo!yani hujamuoa unampiga na kumtusi afu unasingizia pombe,je ukimuoa si ndio utarudi asubuhi??
Mwanaume anayejitambua hawi hivyo..

nilishawahi kum promise,nikija funga ndoa nae,sinto kunywa teEeENa, in 2years tunaoana<endapo akijirudi>>ndo mana for now,naacha kabisa,nikilamba kiapo,maisha mengine hayo yakutimiza ahadi
 
Aisee pole sana mkuu yani kitabia tunafanana na tunashare matukio na yote ni pombe,ila baada ya kuona naharibu imebidi niache pombe na vishawishi vyake,omba msamaha na mambo yatakuwa swaaf,ulevi noumaaah!
 
Ulikuwa umedhamiria
Kaumia sana moyoni,kwa kashfa nilizotoa,binafsi hata moja sikumaanisha! .
Jana kaniambia tuachane,imeniuma,nakumbembeleza ! Nimemwambia nastop pombe kwa 2years. . .
Ni mchumba wangu,tuna malengo mengi,,tupo pamoja mwaka wa 4 sasa!
Anadai kachoka kuvumilia,kwasababu ni mara ya 3 narudia kitendo hiki,. .Mara ya pili nilitia hadi tumakofi. . .
Anaheshima,katulia,mimi ndo nakuwaga kidogo nje ya mstari nikipasha sana!. .
Bado namtaka,nifanyeje kwa sasa!
 
Unastahili kuachwa kwa sababu hii ni mara ya tatu kumtenda!!!!

Kwanza inaonekana matusi yapo akilini mwako na ukipata stimu ndiyo unaamua kumshikia maiki!!!!

Nashauri huyo demu ashikilie msimamo wake ili uanze upya uone kama utapata anayependa kutukanwa na kudhalilishwa kwa kigezo cha ndoa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom