Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 452
Nimezaliwa siku ya kuzaliwa chama cha mapinduzi CCM, lakini naona kama Mungu alifanya makosa kwangu mimi maana sasa ni miaka 33 lakini nazidi kuwa masikini tu, nazidi kuwa mnyonge na kila wakati nazomewa bila sababu yoyote, Je hii ni kutokana na Kuelekea kufa kwa CCM au? Je tarehe zangu za kuzaliwa zinaweza kuwa influenced by CCM? Nimekichukia chama hiki hadi siku yangu ya kuzaliwa siitamani, je naweza badili hii siku maybe na mawazo yatanibadilika?