Nilizaliwa tar 05/02/1977

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Nimezaliwa siku ya kuzaliwa chama cha mapinduzi CCM, lakini naona kama Mungu alifanya makosa kwangu mimi maana sasa ni miaka 33 lakini nazidi kuwa masikini tu, nazidi kuwa mnyonge na kila wakati nazomewa bila sababu yoyote, Je hii ni kutokana na Kuelekea kufa kwa CCM au? Je tarehe zangu za kuzaliwa zinaweza kuwa influenced by CCM? Nimekichukia chama hiki hadi siku yangu ya kuzaliwa siitamani, je naweza badili hii siku maybe na mawazo yatanibadilika?
 
Sahau tarehe then utasahau kila kitu na umasikini utakutoka maana yawezekana unabweteka kaka CCM
 
usivae kijani wala njano on that day, umaskini utaongezeka, na siku ya birthday yako
have a +ve thinking kuhusu maisha yako na tathimini where u went wrong buddy
 
Kwi kwi kwi,,mkuu pole sana kwa ku-share birthday na chama kinachosimamia uchakazaji wa watz kwa umaskini!
 
Kaka mbona umezaliwa siku nzuri tu! Ila mh! Nadhani u can b the best person to b anti-ccm kwasabab wote mna age moja!
 
Mkuu binafsi sidhani kama kuzaliwa tarehe hyo ni tatizo. Usiteseke kumchallenge Mungu kwa siku aliyokuleta duniani ila jitahdi kuendelea kujikwamua. Utafika tu.
 
Nimezaliwa siku ya kuzaliwa chama cha mapinduzi CCM, lakini naona kama Mungu alifanya makosa kwangu mimi maana sasa ni miaka 33 lakini nazidi kuwa masikini tu, nazidi kuwa mnyonge na kila wakati nazomewa bila sababu yoyote, Je hii ni kutokana na Kuelekea kufa kwa CCM au? Je tarehe zangu za kuzaliwa zinaweza kuwa influenced by CCM? Nimekichukia chama hiki hadi siku yangu ya kuzaliwa siitamani, je naweza badili hii siku maybe na mawazo yatanibadilika?

Hiyo ni kumkufuru Mungu. Mimi naona Mungu amefanya jambo zuri sana kwa kuzaliwa kwako siku moja na CCM kwani wewe ni moja ya performance evidence ya CCM mpaka sasa. Kwani bila wewe tutapimaje utendaji kazi wa CCM? Kwa kifupi CCM kwisha kufa siku nyingi kilichopo ni dola la CCM!!
 
WW KAKA WALA UCJINE UNA GUNDU, MBONA MI NIMEZALIWA 9.12 na sichukii cku yangu ya kuzaliwa japo kikweli nchi ya tz ina prob lukuki na ukiangalia hata maana ya neno uhuru halina maaa maana watu kibao ni maskini wa kutupwa,magonjwa usiseme bila kusahau elimu bado haijakidhi lengo.

ondoa mtazamo hasi kichwani na utajikuta maisha yako yamebadilika,otherwise utakufa maskini.

wake up man!!!
 
Nimezaliwa siku ya kuzaliwa chama cha mapinduzi CCM, lakini naona kama Mungu alifanya makosa kwangu mimi maana sasa ni miaka 33 lakini nazidi kuwa masikini tu, nazidi kuwa mnyonge na kila wakati nazomewa bila sababu yoyote, Je hii ni kutokana na Kuelekea kufa kwa CCM au? Je tarehe zangu za kuzaliwa zinaweza kuwa influenced by CCM? Nimekichukia chama hiki hadi siku yangu ya kuzaliwa siitamani, je naweza badili hii siku maybe na mawazo yatanibadilika?

Mkuu hizo ni namba tu badili hiyo tarehe isipokuwa mwaka na mwezi acha ule ule...aah kwani nani atakuuliza bana..!
 
Back
Top Bottom