Niliyoyaona Tanga mjini! Tanga kweli Raha

Hawa ina maana shule hazijafunguliwa?au hajaweza hata kwenda kusoma english and swahili course? Hawa watoto wanamalizs darasa la saba wanakuja jiunga jamiiforums.
 
Namba moja nimesoma nikarudia kusoma ...nikasoma tena ila bado nimetoka kapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema hiviii. Ukifika Ta stendi ukachukua boda boda ikupeleke hoteli, iwapo utataka 'kitafunwa' yule wa boda atakuuliza unataka cha aina gani? Mnene/ mwembamba, mrefu/ mfupi, mweupe/ mweusi.
Then baada ya muda atakuletea sawa na mahitaji yako.
 
Tanga kumepoa sana ule mji hajachangamka kbsa yan,tofaut na dar or morogoro vichaa weng miji imechangamka mishe mishe nying, kila mtu anaakil zake barabaran, tanga kila mtu anakusalimia sasa km unatembea baraban utasalimiwa na wangap, kwe daladala kusalimiana mtu anasalimia gar zima,
Kwe suala la papuch kule ndio mahal pake kula papuchi ni kawaida sana wanawake weng wakule ni mapereto wanapenda kutiana tiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wanajukwaa wenzangu hivi karibuni nilitembelea jiji la Tanga,Ila niliona yafuatayo ambayo kiukweli ni ya kipekee.

1. Ukifika tu ukitoka demu boda boda aliyekubeba anakuuliza aweje umbo ,alaf baada ya dkk chache anakuletea mtoto wa maana.

2. Ukionekana na demu uliyeletewa na boda asubuhi unamsindikiza wahudumu wa loji hiyo watamponda akiondoka, na baada ya hapo wanakushawishi wakuletee mtoto mzuri zaidi, na unaletwa usikubali.

3.Ukiwa na demu gheto anakuambia wazi kuwa hela ulompa lazma akagawane na dereva wa pikipiki aliyemuunganisha,maana bila huyo asingepata dili

4. Ukiwa handsome na unapita kitaa wamama/ wasichana watazungumza kwa sauti kabisa huku wakikutamani ' haya Sasa mnasema Tanga hamna Wanaume wazuri huyo je?

5. Baa Zipo eneo moja na jirani na zote zinapiga bendi.Tanga Pazuri bar, na nyingine

6. Wenyeji wanapenda wageni na kuwakarimu mno

Umekwishaaa, kushney!!
 
Kwa namna mtoa mada alivyochizika na watoto wa Tanga, kuna kila dalili ya kurudi mkoani kwake Simiyu kwa miguu! Karibu sana Tanga kunani.
 
Back
Top Bottom