Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 33,693
- 53,706
Tutapoteza sana vijana kwa ugonjwa wa ini.
Uhandishi=UandishiAna shida ya uhandishi,na mara nyingi husababishwa na haraka wakati wa kuandika.
Maana ndo washamba wa wanawakeWewe utakua msukuma tu. Bahati yako Hamisi Mduruma almaaruf bwana kaka keshakufa
Anasema hiviii. Ukifika Ta stendi ukachukua boda boda ikupeleke hoteli, iwapo utataka 'kitafunwa' yule wa boda atakuuliza unataka cha aina gani? Mnene/ mwembamba, mrefu/ mfupi, mweupe/ mweusi.Namba moja nimesoma nikarudia kusoma ...nikasoma tena ila bado nimetoka kapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaah haha hahahahaha nimependa ufupisho wakoAnasema hiviii. Ukifika Ta stendi ukachukua boda boda ikupeleke hoteli, iwapo utataka 'kitafunwa' yule wa boda atakuuliza unataka cha aina gani? Mnnene/ mwembamba, mrefu/ mfupi, mweupe/ mweusi.
Then baada ya muda atakuletea sawa na mahitaji yako.
Wakiona mtoto mweupe na laini wanachanganyikiwa. Si unajua wa kwao walivyo rafu na wamekolea rangiMaana ndo washamba wa wanawake
Hakuna namna lazima turudi kujifunza kiswahiliUhandishi=Uandishi
Tujifunze tu Kiswahili hakuna namna!
Ndugu wanajukwaa wenzangu hivi karibuni nilitembelea jiji la Tanga,Ila niliona yafuatayo ambayo kiukweli ni ya kipekee.
1. Ukifika tu ukitoka demu boda boda aliyekubeba anakuuliza aweje umbo ,alaf baada ya dkk chache anakuletea mtoto wa maana.
2. Ukionekana na demu uliyeletewa na boda asubuhi unamsindikiza wahudumu wa loji hiyo watamponda akiondoka, na baada ya hapo wanakushawishi wakuletee mtoto mzuri zaidi, na unaletwa usikubali.
3.Ukiwa na demu gheto anakuambia wazi kuwa hela ulompa lazma akagawane na dereva wa pikipiki aliyemuunganisha,maana bila huyo asingepata dili
4. Ukiwa handsome na unapita kitaa wamama/ wasichana watazungumza kwa sauti kabisa huku wakikutamani ' haya Sasa mnasema Tanga hamna Wanaume wazuri huyo je?
5. Baa Zipo eneo moja na jirani na zote zinapiga bendi.Tanga Pazuri bar, na nyingine
6. Wenyeji wanapenda wageni na kuwakarimu mno
"Cheap is Cost" in other words "Cheap is expensive"- "bure aghali"!Mkuu wewe mdomo ni mzito. Kwa karne hii mpaka kutongoza huwezi unataka bodaboda akuletee mwanamke mkali.
Cheap is Cost.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa! Tour De Tanga...wapemba wanasemaga "Tanga Raha waja Leo kuondoka Majaaliwa"hahaha kama vile Tour de France
Kama bado upo Tanga, nenda Forodhani ukashangae wanawake maana ndio ulichoona.
Wakati kuna beach nzuri, samaki na mapango ya Amboni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda raha imemzidia si unajua tanga.Tatizo umeandika kama unakimbizwa