Niliyoyaona Tanga mjini! Tanga kweli Raha

MR.NOMA

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
338
502
Ndugu wanajukwaa wenzangu hivi karibuni nilitembelea jiji la Tanga, Ila niliona yafuatayo ambayo kiukweli ni ya kipekee.

1. Ukifika tu ukitoka demu bodaboda aliyekubeba anakuuliza aweje umbo, alaf baada ya dakika chache anakuletea mtoto wa maana.

2. Ukionekana na demu uliyeletewa na boda asubuhi unamsindikiza wahudumu wa loji hiyo watamponda akiondoka na baada ya hapo wanakushawishi wakuletee mtoto mzuri zaidi, na unaletwa usikubali.

3.Ukiwa na demu gheto anakuambia wazi kuwa hela ulompa lazma akagawane na dereva wa pikipiki aliyemuunganisha maana bila huyo asingepata dili.

4. Ukiwa handsome na unapita kitaa wamama/ wasichana watazungumza kwa sauti kabisa huku wakikutamani ' haya Sasa mnasema Tanga hamna Wanaume wazuri huyo je?

5. Baa Zipo eneo moja na jirani na zote zinapiga bendi.Tanga Pazuri bar, na nyingine

6. Wenyeji wanapenda wageni na kuwakarimu mno
 
Back
Top Bottom