Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
I agree with you a million percent.Udhaifu wa Simba kwa sasa ni kukosa a best clinical finisher tu yaani ambaye ikitokea tu chance unahesabu ni goli na awe na uwezo wa mbio(speed) ,anaweza kupunguza watu na akaforce kuscore maana kwa sasa sioni kama tuna mshambuliaji halisi mwenye sifa tajwa hapo juu
Kagere hata control tu ni shida ,Boko vile vile ,Mugalu control anayo ila kufunga yupo chini ,naamini kwa sajili tatu ambazo Manara kasema basi hapo kwenye ushambuliaji watakuwa wamepaona pia.
Niliwahi kuongea ukweli huu a while a ago. Simba hatuna striker mwenye hadhi ya kuchezea Simba. Tunapozungumzia Simba kupoteza nafasi nyingi za wazi, tunawazungumzia hawa ma-striker wetu watatu. Bottom line, hawako clinical or tactical katika kumalizia nafasi wanazopata. Wote hawana ball control na akipangwa huyu utatamani angepangwa huyu and vice versa.