Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,706
- 3,211
Exactly.Pili mtu anaweza kuripoti kuwa kapoteza kadi then akapewa nyingine
Exactly.Pili mtu anaweza kuripoti kuwa kapoteza kadi then akapewa nyingine
Maajabu yake?Mishahara yote kupitia NMB ni maamuzi ya ajabu
Mkuu umasikini una nguvu sana na unaweza kukuchagulia mtindo wa maishaWalimu kwa mfano hua wanapenda sana kupanga foleni. Ni hobby yao hata ukiwawekea options 90 watakusanyana watiane ujinga weee wote watachagua option moja wakajazane ili wapange foleni.
wanapanga folen huku wanapiga stori 2 3 sasa jeWalimu kwa mfano hua wanapenda sana kupanga foleni. Ni hobby yao hata ukiwawekea options 90 watakusanyana watiane ujinga weee wote watachagua option moja wajazane ili wapange foleni.
Ahueni kwenye maelezo yako umetumia neno watumishi wa umma!Nilikuwa napita jioni kuelekea job. Si mnajua night shift zetu walinzi ndugu zangu. Nilikuwa nimempa lift mdanyakazi mwenzangu tukitokea Chanika.
Sasa nafika NMB Gongolamboto nikiwa barabarani jamaa akaniambia ona ile foleni, nikacheki kushoto nakuta foleni ya haja. Nikakumbuka kuwa ni tarehe ya mshahara. Mimi tayari nishatoa kwa simu, nina karibu mwaka siijui ATM machine.
Kwanini niseme niliyoyaona ni aibu kwa watumishi wa umma?
1. Hivi enzi hizi bado mtu na akili zake timamu anapoteza muda kwenye foleni huku makato ukitoa kupitia internet au sim banking yanalingana. Huu muda unaopotea kuokoa mia 4, buku au mia 5 mtu haoni ni hasara.
2. La pili linalotia aibu ni kwamba watumishi wengi wameambatana na wadeni wao ambao ndio walimiliki ATM card zao mpaka siku ya mshahara.
Jamaa yangu aliniambia wale waliokaa kwenye mawe ni wadau wanaowakopesha watumishi na kumiliki kadi zao na kuwapa siku ya mshahara wanapokutana kwenye ATM.
Nikafanya utafiti kuhusu hilo na kujihakikishia kuwa ni kweli. Aibu hii itaisha lini?
Serikali ipeleke wataalamu wa fedha na uchumi kwenye taasisi zake ili kuwafunda watumishi. Pamoja na maslahi ndogo ila mambo mengine yanatokana na ujinga (kukosa elimu ya kiuchumi na fedha) kwa watumishi.
Mtu anashindwa hata kui sacrifice laki 3 kujitosa kwenye ufugaji wa kuku. Aibu.
Binafsi sioni mantiki ya hii tabia ya Watanzania walio wengi ya kupenda kufuatilia maisha ya watu, na pia kupenda kuwapangia watu cha kufanya!Kutoa wa wakala
KIASI GHARAMA
100,000 4,800
Kutoa kwa ATM
100,000 1,200
Kupanga ni kuchagua.
Kwa card ukitumia app yao 100k unakatwa buku hivi.Kutoa wa wakala
KIASI GHARAMA
100,000 4,800
Kutoa kwa ATM
100,000 1,200
Kupanga ni kuchagua.
Sasa Hilo Jimbo lenu lots ATM zipo nne tu unategemea Nini?Nilikuwa napita jioni kuelekea job. Si mnajua night shift zetu walinzi ndugu zangu. Nilikuwa nimempa lift mdanyakazi mwenzangu tukitokea Chanika.
Sasa nafika NMB Gongolamboto nikiwa barabarani jamaa akaniambia ona ile foleni, nikacheki kushoto nakuta foleni ya haja. Nikakumbuka kuwa ni tarehe ya mshahara. Mimi tayari nishatoa kwa simu, nina karibu mwaka siijui ATM machine.
Kwanini niseme niliyoyaona ni aibu kwa watumishi wa umma?
1. Hivi enzi hizi bado mtu na akili zake timamu anapoteza muda kwenye foleni huku makato ukitoa kupitia internet au sim banking yanalingana. Huu muda unaopotea kuokoa mia 4, buku au mia 5 mtu haoni ni hasara.
2. La pili linalotia aibu ni kwamba watumishi wengi wameambatana na wadeni wao ambao ndio walimiliki ATM card zao mpaka siku ya mshahara.
Jamaa yangu aliniambia wale waliokaa kwenye mawe ni wadau wanaowakopesha watumishi na kumiliki kadi zao na kuwapa siku ya mshahara wanapokutana kwenye ATM.
Nikafanya utafiti kuhusu hilo na kujihakikishia kuwa ni kweli. Aibu hii itaisha lini?
Serikali ipeleke wataalamu wa fedha na uchumi kwenye taasisi zake ili kuwafunda watumishi. Pamoja na maslahi ndogo ila mambo mengine yanatokana na ujinga (kukosa elimu ya kiuchumi na fedha) kwa watumishi.
Mtu anashindwa hata kui sacrifice laki 3 kujitosa kwenye ufugaji wa kuku. Aibu.
Ahahahaha.Kumbe na wee unawaonea wivu walimu kwani kupiga foleni Ni aibu gani wakati naenda kuchukuwa mpunga wangu alfu siyo kila kitu nikimbilie internet au sim banking sometime hyo simu bank sinasumbua na kupeleka kusubiri sna pesa iingiee
Tuache bhna tukachukue hell zetu na zako za ulizni subiria upewe dirishani kwa muhindi
AhahahahaAhueni kwenye maelezo yako umetumia neno watumishi wa umma!
Angekuwa ni mpwayungu village, moja kwa moja angesema hao watu wote aliowakuta kwenye hiyo ATM mashine ya Gongolamboto; ni walimu!
Hakuna hiki kitu mahala popote Duniani, hata kwenye hizo nchi tunazo ita ni nchi tajiri zilizo endelea.Atafika Rais atakayekomesha umaskini na ufukara wa watumishi
askari hata kama kalala njaa hutosikia malalamiko popote wala askari huwezi kujua jua mambo yake. wapo askari wanazidiwa mishahara na hao walimu lakni kmyaa ..siri ya mtungi!Ahahahaha
Walimu siku hizi wamebadilika
Wana maisha.
Tatizo liko kwa maaskari na kada zingine
Hapana.Mishahara yote kupitia NMB ni maamuzi ya ajabu
Kwani umeshaona mtu ana passbook miaka hii? Nadhani ungeanza kwa kuyashambulia mabank kwanini wanainstall ATM machine na kwanini wanatengeneza card, mabank yakiua hiyo teknolojia ya atm basi watu watatumia simu,1. Hivi enzi hizi bado mtu na akili zake timamu anapoteza muda kwenye foleni huku makato ukitoa kupitia internet au sim banking yanalingana. Huu muda unaopotea kuokoa mia 4, buku au mia 5 mtu haoni ni hasara.
Ahahahaha.Point Ni Kuambatana Na Wadeni, Yaani Haa Hakuna Ujanjaujanja Lipa Deni