Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,321
malori,magreda na trela yamekuwa yanamaliza viongozi wetu wa kitaifa. Inawezekana ndo njia Mungu aliyowapangia ila mi sina amani na aya malori hasa kugongana uso kwa uso. Kuanzia ndugu sokoine,ukimwondoa mh jamaldin akikweti aliyekufa kwa ndege kule mbeya-waliobaki wamekufa kwa ajali za malori. Sitaki.