Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,229
- 1,141
Usibishe.Hii kauli husemwa na watu wengi lakini sio kweli. Sema tu baada ya kupaua mfuko huwa unayumba sana. Hivyo matarajio ya wengi ni kuwa kazi imebaki ndogo. Sasa wanapoona wanatakiwa kutoa tena number of Milions wanachanganyikiwa na kudhani kuwa Finishing ndio gharama kulikoz hatua zingine. Sio kweli.
Fikiria gharama ulizotumia kuanza msingi, boma, renta, Mbao , bati na kupaua ni bei gani?? Ukipata pesa kama hiyo tena unamaliza kila kitu cha finishing. Sasa iweje finishing uonekane ndio ghali sana kuliko ulikotoka?
Elezea gharama ulizotumia kusimamisha pagara jumlisha gharama za kupauwa, kisha linganisha na gharama za finishing; ndiyo utajua aina ipi ya ujenzi inakula Pesa.