Niliyojiapiza kutoyafanya ukubwani yote yamenishinda. Hadi sasa nimeyafanya yote kasoro moja tu

Niliapa mengi Ila mengi makubwa nimefanikiwa.

1. Kutokunywa pombe ya aina yoyote japo marafiki zangu woote ni wanywaji wazuri tu.
2. Kutokumpa mimba mwanamke mpaka pale ntakapoishi nae kabisa kama mke wangu na mpaka sasa sina hata wa kusingiziwa.
3. Kutokula tigo, hii pia siwezi na sijawahi.
4. Kutokuvuta sigara na bangi.

I'm 27 yrs old na public servant napambana
bado umri mdogo sana huo kijana,,endelea sana kumuomba Mungu,,ukifika 40 utakua na kila dalili ya kushinda,mwenzio mm niliapa hivyo hivyo ila nilipofika 34 tu nikatia mimba kwa mke wa mtu na mumewe yupo masomoni,ikabidi tushauriane akaitoa,pombe nikavumilia sana japo nilikua nakaa meza moja na wanywaji bia wazuri lkn nilivumilia kutukanwa walipolewa huku mm nakunywa soda hatimae nilipofika 36 nikanywa na kunogewa,sigara na bange ndo usiseme kabisa japo sio mara kwa mara napiga,...tigo tu ndio bado,naomba Mungu nisle hiyo kitu japo majaribu ni mengi,bado miaka miwili nifike 40 now
 
pole mkuu,ukitubu atakusame Mola,niliapa kuwa cku Mungu akinipa mke mwema ctakaa nizini,Dooh...najuta kujiapiza maana ndo km vile shetani anawaleta warembo wa kila aina kwangu na kujikuta nawabandua kila cku,,hv tunaondoaje viapo hv jmn?
sawa mkuu
 
Ukijiapiza ni kama unakua umechochea hicho kitu uje kukifanya...tujiepushe sana na kujiapiza maana kughafirika hakuepukiki
 
Mimi Ni Mkatoliki Pure niliapa sitakuja Date na Muislamu ila sasa hv daah Nishawapitia kama 15 hivi yan kila ninayempata Ni wale waleee kuna mmoja nilimpata anapiga ushungi kabisaa kila nikijaribu wakristo nakula za uso! Nyingine niliapa Mademu weusi kwangu hapanaa, nitakuwa nalamba vyeupe tuu 🤣🤣 ila sasa hivi Uwe na Chura tuu inatosha hata ukiwa Wa Blue Barida Tuu
 
Baba yangu ndiye aliyenipeleka kwa Mganga...

Najua alinipeleka kwa upendo, bila kujali majuto ninayoyapitia maisha yangu yote...

Siungi mkono upendo wa kupeleka watoto kwa waganga...

Nimeshamsamehe Baba yangu...
unapitia majuto gani mkuu, hebu share nasi tupate kujifunza!
 
Mimi Ni Mkatoliki Pure niliapa sitakuja Date na Muislamu ila sasa hv daah Nishawapitia kama 15 hivi yan kila ninayempata Ni wale waleee kuna mmoja nilimpata anapiga ushungi kabisaa kila nikijaribu wakristo nakula za uso! Nyingine niliapa Mademu weusi kwangu hapanaa, nitakuwa nalamba vyeupe tuu 🤣🤣 ila sasa hivi Uwe na Chura tuu inatosha hata ukiwa Wa Blue Barida Tuu
kuna watu nimekuja gundua kuwa bila kujijua huwa wana date na watu wa aina fulani tu...
nina mwana kila demu wake alikuwa ni mkristo ilhali yeye ni muislamu...juzi kaoa na aliyemuoa ni mkristo
 
kuna watu nimekuja gundua kuwa bila kujijua huwa wana date na watu wa aina fulani tu...
nina mwana kila demu wake alikuwa ni mkristo ilhali yeye ni muislamu...juzi kaoa na aliyemuoa ni mkristo
Ila siyo mbaya kikubwa mapenzi tu
 
La tigo mi mwenyewe lina nipa majaribu mengi kuna mda najiona mjinga kutokula tigo nashukuru kwa kutokula tigo
Uki confess hata dhambi zinapungua. Mimi nimekula 2, ila ni jambo ambalo ukilifanza linafuatiwa na MAJUTO MAKUU. Haina starehe ya ziada.
 
Back
Top Bottom