Niliyojiapiza kutoyafanya ukubwani yote yamenishinda. Hadi sasa nimeyafanya yote kasoro moja tu

Mipango ni mizuri ila Mungu pia anapanga yake...

Nishwahi jiapiza sitajiua
Ila kuna siku yalinifika,nikasaidiwa tu

Ila from there unakuwa very strong unachukulia poa...growth is not comfortable
Muombe sana Mungu, hiyo roho huwa haimuachi mtu salama.
 
Aisee we jamaa unahitaji kuwa rafiki angu..umenchekesha sana..najiangalia upande wangu naona tupo sawa tu
Kwa namna hiyo,inaleta picha kwamba wake za watu wanaliwa sana 90%?. Pamoja na kauli mbiu kubwa ”MKE WA MTU SUMU”?
 
Toka nakuwa mambo ya tigo hayakuwepo sana kama sasa,kwa hiyo haikuwemo kwenye kiapo changu. Kiapo changu kikubwa ilikuwa sitakuja kudokoa demu ninaejua jamaa aliekuwa anamdokoa. Kiapo kilikuja kunishinda baada ya demu wangu mmoja baada ya kuwa ktk mahusiano ya muda nikaja kuonyeshwa njemba aliekuwa anamdokoa,walikuwa wanasalimiana. Kiapo changu kilivunjikia hapo. Nikamdokoa demu wa huyo mchizi
 
Ndugu zangu!

Mwenzenu nilipokuwa kijana niliapa katu katu sitokuja kujaribu kufanya mambo haya matano!
  1. Niliapa kutozaa watoto nje ya ndoa.... lakini hadi mda huu Leo nina watoto watatu nje ya ndoa inaniuma sana lakini basi tu
  2. Niliapa sitokuja kutembea na mke wa MTU katukatu...Daah kusema ukweli hilo nalo nimepitiwa nimewalaaa sana utafikili wametumwa kunijaribu
  3. Kufanya mapenzi kwenye gari; Yaani nilikuwa nawashangaa sana wanaofanya kwenye gari, lakini siku nilionja nikazoea kwanza hata guest nikaanza kuona ni hasara
  4. Kwenda kwa mganga; Niliapa sitakanyaga kwa mganga, Baada misukosuko ya kikazi nilimtafta mganga mwenyewe bila shurti
  5. Nililofanikiwa hadi sasa nikotokula TGO ya mtu; Kusema ukweli hili nimeshinda ingawa majaribu yalikuwa mengi sana lakini Alhamdulillah Nimeyashinda!
Nilichojifunza Usijiapize kitofanya kitu bila kuwa na ufaham wa namna ya kuepukana nacho.

Vipi; Nyie wenzangu mlitumia njia gani kujizuia msiyafanye mlojipangia?

TUJUZANE TAFADHALI
Zote hizo nishapitia mkuu usijaribu kuonja tigo ni nouma ile kitu
 
Umejitahidi sana jamaa...malizia hilo la mwisho ukamilishe hesabu
 
Nilijiapiza kutovuta sigara na bangi maisha yangu yote. Lakini nikajikuta navuta sigara lakini sikuvuta bangi. Bahati nzuri sigara kwasasa nimeacha. Niliapa pia sintamla mke wa mtu, wakajipitsha nikawatafuna na kuzaa nao kwa siri
Duh watoto walipozaliwa uliwapata?na ilikuaje baada ya hapo?
 
Niliapa kutokulala sero ila baada ya kunywa safari mbili daaaaa imebaki history tu
Mkuu uliapa kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako kabisaa. Yaan kitu kam icho unaweza kuwa mwema san ila ukajikuta upo ndani.

Sitasahahau nilienda ndani tena eti kesi ya kuuwa ,dadeki apo nipo form four nakaribia kufanya necta ,sitasahau alaf wananihoji mara mbilimbili dah sitasahau
 
Nilichofanikiwa mpaka sasa ni.
1. Kutokuvuta sigara na bange.
2. Kutoentartain upuuzi wa mambo ya jinsia moja.
3. Kwenda kwa mganga hata sijawahi kuwaza hiki kitu.

Vingine vyote nimefeli vibaya mno.
Tupo pamoja mhandisi mzalendo,mungu awe nasi
 
Back
Top Bottom