Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,134
- 159,017
Muombe sana Mungu, hiyo roho huwa haimuachi mtu salama.Mipango ni mizuri ila Mungu pia anapanga yake...
Nishwahi jiapiza sitajiua
Ila kuna siku yalinifika,nikasaidiwa tu
Ila from there unakuwa very strong unachukulia poa...growth is not comfortable