Ndugu zangu!
Mwenzenu nilipokuwa kijana niliapa katu katu sitokuja kujaribu kufanya mambo haya matano!
Vipi; Nyie wenzangu mlitumia njia gani kujizuia msiyafanye mlojipangia?
TUJUZANE TAFADHALI
Mwenzenu nilipokuwa kijana niliapa katu katu sitokuja kujaribu kufanya mambo haya matano!
- Niliapa kutozaa watoto nje ya ndoa.... lakini hadi muda huu Leo nina watoto watatu nje ya ndoa inaniuma sana lakini basi tu
- Niliapa sitokuja kutembea na mke wa MTU katukatu...Daah kusema ukweli hilo nalo nimepitiwa nimewalaaa sana utafikili wametumwa kunijaribu
- Kufanya mapenzi kwenye gari; Yaani nilikuwa nawashangaa sana wanaofanya kwenye gari, lakini siku nilionja nikazoea kwanza hata guest nikaanza kuona ni hasara
- Kwenda kwa mganga; Niliapa sitakanyaga kwa mganga, Baada misukosuko ya kikazi nilimtafta mganga mwenyewe bila shurti
- Nililofanikiwa hadi sasa nikotokula T-GO ya mtu; Kusema ukweli hili nimeshinda kwa kiasi kikubwa Alhamdulillah ingawa Kuna pisi mmoja namkwepa kila siku ananishawishi nikamzindue coz naye hajawahi Ila anatamani aanze!.....hakika naogopa Sana thus najitahid kumkwepa!
Vipi; Nyie wenzangu mlitumia njia gani kujizuia msiyafanye mlojipangia?
TUJUZANE TAFADHALI